Monday 11 March 2013

RE: [wanabidii] Re: FIFA YAIFUNGIA TANZANIA

We Msacky wacha hayo. Tujifunze yapi kwani kila senti tuliyokuwa nayo ni ya kuila kendeleza MKUKUBI (Mkakati wa kuondoa umaskini binafsi). Tuna hela ya kijifunza kama mfadhili hayupo? kwenye mpira na nyanja zingine?

Ahsante

Herment A. Mrema

Date: Mon, 11 Mar 2013 13:19:32 +0000
From: msaiky@yahoo.co.uk
Subject: Re: [wanabidii] Re: FIFA YAIFUNGIA TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com

kama ni kweli wametufungia naona afadhali ili tujiandae angalau kwa miaka miwili kwanza tujifunze

--- On Mon, 11/3/13, Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com> wrote:

From: Gaudencia Ngetti <gaudencia.ngetti@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: FIFA YAIFUNGIA TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, 11 March, 2013, 13:06

Kama ni kweli FIFA imeifungia Tanzania ninaomba tuungane Watanzania katika hili kuthibitishia ulimwengu uzalendo wetu na mustakabali wa soka la Bongo.
 
Na labda nitolee mfano mdogo kwa wenzetu Kenya katika uchaguzi wao mkuu uliopita kwamba hata pale taasisi za kimataifa zilipojaribu kuingilia mambo yao ya ndani walisimama kidete na kisema "we Kenyan". Tuwaambie FIFA kuwa uamuzi wa Serikali tuliyoiweka madarakani yana nguvu kuliko ya Blatter.
 
Wakati mwingine kiburi huinua utu wa mtu au watu.
 Hizo ni njama tu za baadhi ya viongozi wa TFF wanaotaka kuficha mabilioni ya JK aliyotoa ili timu ya Brazil ije nchini na kwamba fedha hizo zingerudi lakini zikatafunwa, zinajengewa magorofa Mbezi Beach na majumba Kinondoni. Tukomae muone baadhi ya viongozi wa TFF watakavyotokwa kamasi.
--- On Mon, 3/11/13, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Re: FIFA YAIFUNGIA TANZANIA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, March 11, 2013, 12:48 PM

Jamani hao FIFA vipi, mara hii wamesahau kuwa mkuu wetu alienda kuwasalimia huko majuu, sasa vitisho vya nini tena wakati nchi inajipanga kuboresha michezo?

2013/3/11 anna nyanga <luguanna@yahoo.com>
Limesema litaifungia wajameni?kazi kweli kweli!

From: Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Monday, March 11, 2013 1:16 PM

Subject: [wanabidii] Re: FIFA YAIFUNGIA TANZANIA

Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Mpira wa Miguu (FIFA) limesema
litaifungia
Tanzania iwapo itabainika kuwa Serikali imekuwa ikiingilia shughuli
za
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

FIFA imesema kumekuwa na shutuma kupitia taarifa mbalimbali za vyombo
vya
habari nchini kuwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
imeonesha nia ya kuingilia uendeshaji wa TFF.

Kwa mujibu wa barua ya jana (Machi 10 mwaka huu) ya FIFA kwenda kwa
Rais wa TFF, Leodegar Tenga, vyombo vya habari vimemkariri Waziri (Dk.
Fenella
Mukangara) kuwa Serikali imeiagiza TFF kutumia Katiba ya mwaka 2006
katika uchaguzi wakati tayari imeshafanyiwa marekebisho.

"Pia imeelezwa kuwa TFF imetakiwa kufanya Mkutano Mkuu pamoja na ule
wa
uchaguzi kwa tarehe ambazo zimepangwa na Serikali. Vilevile imeelezwa
kuwa Serikali inakusudia kuunda Kamati ya Muda iwapo TFF
haitatekeleza
maagizo yake," imesema sehemu ya barua hiyo iliyosainiwa na Katibu
Mkuu
wa FIFA, Jerome Valke.

FIFA imesema iwapo yaliyoripotiwa na vyombo vya habari yatathibitika
kuwa
kweli, maana yake huo ni uingiliaji wa wazi wa Serikali kwa shughuli
za
TFF.

"Tunapenda kuwakumbusha kuwa wanachama wote wa FIFA wanatakiwa
kuendesha shughuli
zao kwa uhuru bila kuingiliwa na mtu mwingine kama ilivyoelezwa
katika
ibara za 13 na 17 za Katiba ya FIFA.

"Hivyo kama maagizo hayo yanayodaiwa kutolewa na Serikali
yatatekelezwa, suala hili litapelekwa katika mamlaka za juu za FIFA
kwa hatua zaidi ikiwemo  kuisimamisha Tanzania kama ambavyo inakuwa
pale panapokuwa na uingiliaji wa Serikali," imesema barua hiyo.

Barua hiyo ambayo nakala yake pia imetumwa Shirikisho la Mpira wa
Miguu
Afrika (CAF) imeelezea baadhi ya athari ambazo Tanzania itakumbana
nazo
endapo itasimamishwa ni timu za taifa pamoja na klabu kutoshiriki
mechi
za kimataifa kwa mujibu wa Ibara ya 14 ya Katiba ya FIFA.

Vilevile si TFF au wanachama wake na maofisa wengine watakaoweza
kunufaika na
programu za maendeleo, kozi au mafunzo yanayotolewa na FIFA na CAF.

"Madai ya uamuzi uliofanywa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo
ni ya kusikitisha kutokana na ukweli kuwa FIFA ilishatangaza itatuma
ujumbe wake kuchunguza jinsi hali ilivyo kwa sasa na kutoa
mapendekezo
yake. Kutokana na hali hii, ujumbe wa FIFA uliokuwa uje kuchunguza
(suala la uchaguzi) itabidi usubiri kwa vile ni muhimu kushughulikia
tatizo hili kwanza.

"Katika mazingira haya tunaomba ueleze msimamo huu wa FIFA kwa
mamlaka
zinazohusika (Serikali) na athari ambazo mpira wa miguu wa Tanzania
utakumbana nazo. Tunakushuru na tunatarajia utatufahamisha kila hatua
inayoendelea katika suala hili," imesema barua hiyo.

Boniface Wambura

On Mar 11, 5:01 am, Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com> wrote:
> Dogo kama una chuki binafsi na yona malizana nae kiume sio kuleta
> chuki hizo kwa wasio husika
>
> On Mar 11, 4:57 am, Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com> wrote:
>
>
>
>
>
>
>
> > Meena mwambie huyo Yona aka Abdallah Hamis aweke source ya uhakika
> > kwenye taarifa yake.
>
> > On 3/11/13, Neville Meena <nevill...@gmail.com> wrote:
>
> > > Attribution ya hii taarifa mbona haipo? Chanzo ni nani? Tunaomba kufahamu
> > > tafadhali.
>
> > > On Mon, Mar 11, 2013 at 1:58 PM, Abdalah Hamis <hamis...@gmail.com> wrote:
>
> > >> shirikisho la kimataifa la soka duniani FIFA limeifungia Tanzania
> > >> kwenye mashindano yote ya kimataifa
>
> > >> --
> > >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > >> ukishatuma
>
> > >> Disclaimer:
> > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> > >> legal
> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> > >> be
> > >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > >> ---
> > >> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > >> "Wanabidii" group.
> > >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > >> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> > > --
> > > *Neville C. Meena,*
> > > *Secretary General,*
> > > *Tanzania Editors Forum - TEF,*
> > > *Dar es Salaam - Tanzania.*
> > > *Cell: +255 - 787 - 675555*
> > > *        +255 - 753 - 555556*
>
> > > --
> > > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> > > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> > > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> > > ukishatuma
>
> > > Disclaimer:
> > > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> > > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> > > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> > > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > > ---
> > > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > > "Wanabidii" group.
> > > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> > --
> > "Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
> > --
> > Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
> > Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
> > Skype: Mohamedi.Mtoi
> > Twitter: @mohamedimtoi
> > Facebook:http://www.facebook.com/mouddymtoi
> > --

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment