Sunday 17 March 2013

Re: [wanabidii] Re: FIDIA BARABARA YA SERENGETI-SERIKALI YETU INAWAZA NINI?

Mi niseme tu mahala popote penye bara bara kuu hakustahili malipo ya
fidia wekeni siasa pembeni labda tu kama kuna re alignement of route
hiyo ni kitu kingine. Mnaitukana serikali mnageuka mnailaumu si sawa

On 3/17/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
>
> Na hivi sasa wanawauzia watu nyumba zao za Jangwani na bonde la mto Msimbazi
> kigogo. Wao wameondolewa wapo Mambwepande na kutabomolewa. Vipofu wananunua
> na watavunjiwa bomoabomoa ikianza. Watasema GVt inawaonea!!
> Mtu analipwa fidia na kuruhusiwa kubomoa achukue building materials
> zake-anamuuzia punguani ambaye anasikia kuwa wanatakiwa wasikae barabarani
> lakini anakaa. Mwingine anajenga mara akisikia kutabomolewa na fidia
> kutolewa.
>
> Kaangaliwe walivyouza barabara ya Dar-Ruvu Makuruge-Msata. Na watajenga
> usawa na barabara hata kama wanaona na kuambiwa haparuhusiwi kujenga hivyo.
>
>
> Huko Bagamoyo-Ruvu-Msata sasa mashamba ya mananasi, mabonde ya mpunga
> yameuzwa. Ni Bar za vileo kote minara imesimamishwa pale ambapo bar
> haijajengwa.
>
> Kaangalie kando ya barabara Dar-Bunju-Bagamoyo mawe ya Mh Mangufuli ya
> kuonyesha ukomo wa kujenga-wameng'oa na kuyalaza au kuyapanda mbele ya
> barabara mita chache toka barabara sio mita 30 au 60 toka barabarani.
> Wanafanya hivi wanajua watabomolewa ila kiburi na ujuaji na anajenga jumba
> lipya la gharama-itakula kwake bila malipo/fidia. Nenda makurunge kwenye
> mradi wa kilimo cha umwagiliaji-Japanese financed-mifugo imejaa ktk bonde la
> mpunga. Wanazidi kujazana na viongozi wanaangalia. mapigano yatazuka sasa
> maana kilimo cha mpunga kinaathirika. hakukuwepo mifugo na namna hiyo karne
> zote watu wakilala juu ya madugu kulima mpunga sasa ni chama chao na
> serikali ya TZ na Japan zimewasaidia vifaa na ofisi, jumba la mikutano,
> mashine, treka, lori. Pamoja na utata wa uwendeshaji na utunzaji vifaa
> mifugo imehamia bonde chepechele inakula keki za mpunga; barabara ya lami
> inawapa mshawasha watu kuuza ardhi hovyo na wafanyalo-upuuzi hakuna la
> maendeleo. Sherehe za
> mtoto kutoboa masikio mdundiko kucha, kutoa mwali, arusi bendi 2 na
> mchiriku etc.
>
> Jenga lami Serengeti lakini weka kizuizi bar la Arusha, Mwanza, Musoma
> zisihamie kando ya barabara. Maana hata makazi ya wafanyakazi na mahoteli
> kwa sasa yanatakiwa yawe nje ya mbuga ya hifadhi. akihamia mtu-bomoa.
> akitumia mapito yawe ya wahamiaji haram-taifisha gari na nyumba walikofichwa
> kama inavyosemekana sasa itafanywa hivyo.
> Ana kibali cha ufisadi cha kujenga mkubwa katia sahihi-wawajibishe wote yeye
> na huyo bosi. Tia tingatinga usichelewe watajenga zaidi pale ambapo
> umehamisha watu kutoka maeneo hatarishi. Tuige Mfano wa UK Thames
> River-Jenga ghorofa za watalii, cassino, panua na safisha mto Msimbazi pawe
> mahala pa michezo ya majini. Ila kinyesi kinatoka kuanzia mbali utokeako
> mto, tutaweza kuuweka safir bila monitoring toka unapoingia DSM na
> unakotokea? Fanya hivyo kote TZ na Serengeti pia ukijenga barabara-bomoa
> wakijenga kinyume na sheria.
>
>
> --- On Sun, 17/3/13, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
>
> From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: FIDIA BARABARA YA SERENGETI-SERIKALI YETU
> INAWAZA NINI?
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sunday, 17 March, 2013, 7:12
>
> Watanzania tutaendelea kuumia vile si wafuata taratibu sitashangb
> kusikia makazi kwa sehemu kubwa yalifuata barabara na vile imepita
> miaka 40 au 20 hakuna kilichofanyika watu wanajisahau lakini suala
> liko mahakamani tungojee
>
> On 3/17/13, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:
>>
>> Sijapata muda wa kusoma wapi uwanja wa ndege wa Kimataifa utajengwa
>> serengeti. Lakini ninafahamu kuwa kuna uwanja Loliondo ambao ndege za
>> kukodi
>> na za hunter na nyinginezo zikitua. Huo uwanja upo maeneo ya mbuga za
>> wanyama ambao ilikuwa ni hatari kutua hapo kutokana na wanyama kuwepo
>> uwanjani. Mwarabu OBC wa kampuni ya uwindaji huko, pamoja na mafao
>> mengine
>> aliyokitoa ni kuukarabati uwanja huo na kuweka fence (kama bado ipo).
>>
>> Kama umewahi kuwenda Loliondo kutokea Arusha au Mugumu-Robanda basi
>> utaelewa
>> jinsi maendeleo yanavyokuwa magumu bila barabara ya kudumu.
>>
>> Mbona Ukitoka South Africa kwenda Botswana unapita mbuga za wanyama na
>> barabara ya lami. Ukitoka Sirari-Kisumu kwenda Nairobi uwe
>> mwangalifu-Wanyama pori. Na sio kila maendeleo yapitapo ni serikali tu
>> ilipe
>> fidia sio nasi wakati mwingine tuchangie.
>>
>> Hata CIUP ya Mijini (DAR) hufanya hivyo kuwafanya baadhi wachangie ktk
>> kuboresha miundo mbinu la eneo kwa kukubali Kiosk au kachumba kabomolewe
>> bila fidia kama mchango wako badala ya tena kuchangia e.g. elfu 3 au kumi
>> za
>> kufika 20% ya total cost ya uboreshaji miundombinu-barabara, nguzo za
>> umeme,
>> soko, public toilet, mitaro ya maji ya mvua.
>>
>> Ukiangalia kwamba nyumba zipo bondeni (Tandale Mtogole) na zipo mjengo wa
>> L
>> na ukitaka kuondoa maji ni mifereji kila baada ya nyumba. Hii ni gharama
>> kubwa GVT wala donor haiwezi. Hivyo kunaamuliwa strategically mifereji
>> ipite
>> wapi na kuchangia ili gharama isiwe kubwa.
>>
>> Inategemea na uvunjaji na kinachovunjwa kwa ukubwa na thamani yake. Kila
>> kijiji huko Loliondo/Serengeti vinasifika kuwa na NGO za kigeni. Mbona
>> maendeleo duni. wapo kazi yao instigation of conflict na tumboni street
>> Mmasai yupo pale pale? Hao ndio waliotia chokochoko Ihefu/Kilombero. Na
>> miladi ya maendeleo kuhisaniwa Ihefu na mashirika ya nje. Ilifika
>> serikali
>> ikaona basi-mazingira yanakwisha mchezo hakuna waondoke. Donors na NGO
>> nyingine tata. Baadhi walifikia mpaka kuhamasisha eti Mbuga ya Serengeti
>> wapewe Wamasai na Mkomazi pia ndio haki zao za binadamu wanazotetea.
>> Imekula
>> kwao hadi leo!!  Ila huwasikii kusema-Mikumi National Park wapewe
>> Warugulu
>> na Wasagala, Ruaha wahehe (Wakaseme wapewe Wamasai na Miradi ya Mbomipa
>> etc); Hawasemi Seleou Kusini wapewe wangoni. Hao wakenya wakitangaza
>> Serikali ipo kwao Kenya. GVT imefanya juhudi ya kuitangaza ipo TZ. Sasa
>> hao
>> ndio wa kutetea Wamasai na barabara wakati wageni wakilala kwao kuja
>> kuangalia wanyama na
>>  kurudi kenya hela inakuzamia? Loliondo Misitu imekwisha kukatwa malundo
>> ya
>> mbao za mloliondo unakuta mpakani kubebwa kwenda Kenya pia biashara za
>> rombo
>> na maeneo mengine mpakani nao. Hao wanautetezi hasa na nchi hii na wakazi
>> wake au kujaza tumbo? Mbona kwao ardhi na misitu ni mali binafsi maeneo
>> mingi, ukabila na mipambano kwetu ndio watetezi.
>>
>> Wamasaai nao wanataka maendeleo. Warudi kwao hizo NGO za kigeni maana nao
>> kwao wanamatatizo ya jamii kibao. Kwani Yellowstone N.Park haifikiwi na
>> barabara za lami bali vumbi tu? Mbona misitu mikubwa miji yao na wanyama
>> wanavuka barabara za lami na hata mbwa mwitu/bweha kuingia majumbani
>> kutafuna mtoto. Lami na taa za kuwaka mbona hazizuii mbweha, dubu kuingia
>> majumbani. hata kinguchiro kinavamia uwanja wa mpira na kuuma watu. Sisi
>> lami ndi tatizo wanyama watakufa?
>>
>> Wangejua hao wakenya-Conservation biology ktk research zake imeonyesha
>> wanyama wapo wengi jirani na makazi ya binadamu kutokana na tegemezi
>> binadamu anafanya modification ya ardhi inawapa varieties za majani ya
>> lishe. Wapo wachache ndani ya mbuga kabisa. Ndio kukaanzishwa academic
>> area/sector  iliyozaa sera na strategies za  Community
>> conservation/Wildlife
>> conservation with community participation kuondoa dhana ya Yellowstone
>> model
>> ya total exclusion ya binadamu. Na ndio maana tuna mikakati ya WMAs
>> (Wildlife management Areas) na kufundisha wildlife Scouts/Community or
>> village scouts; tented camps kijijini etc. Waache wanyama waishi na
>> binadamu. Binadamu alinde wanyama ila afaidike na uhifadhi (benefit
>> sharing). na hata ukiwa Rhino Lodge au hoteli za kitalii-usiku wanyama
>> wenye
>> watoto wanajaa hapo uwanja na kuzunguka hoteli ili kukimbia kuliwa
>> porini.
>> Ukijenga bwawa la maji ya mifugo-umewaita kuja kunywa na kuhamia hapo. Ni
>> risasi zitakaowakimbiza sio
>>  barabara ya lami mradi tu kuwe na control ya trafiki na kutupa uchafu
>> hovyo
>> na uwindaji haramu. Wakenya watuache!!
>>
>> Ndugu zetu wamasai wakubali mabadiliko na waamue yanayowafaa kwa
>> kushirikiana na viongozi wao wa mila, serikali na wabunge waliowachagua.
>>
>> Tusisahau pia, hata katika maisha ya mbali vijijini kuna ubadhilifu na
>> watu
>> wenye ubinafsi na ufisadi. Ndio maana ktk mila na desturi unakuta mjomba,
>> babu, baba mdogo, shangazi anadhulumu mali na kuwaacha mayatima na mjane
>> wanateseka kisa-Mila kumbe ubinafsi.
>>
>> Wakati inatungwa Serendeti Regional Conservation Strategy-1994, Sisi
>> tulipita hoteli za kitalii  wilaya zinazozunguka Mbuga ya Serengeti nje
>> na
>> ndani ya Mbuga, hadi Loliondo, Maswa GR, Grumeti etc na vijiji yake.
>> Tuliangalia hela za Halmashauri za GVT na zile zitokazo
>> uhifadhi-makampuni
>> ya uwindaji na NCAA- kama mafao ya wananchi waishia ndani na nje ya
>> hifadhi.
>> Mamilioni ya NCAA na hela za toka Hoteli tulichukua nakala ya cheki-hundi
>> kutoka mahoteli-Kituko ukiangalia matumizi vijijini na baadhi ya wilaya.
>> Hata katika grassroot level-jamii inayotetea kuwa inaonewa- tulikuta
>> ufisadi
>> katika uongozi wa mila na kuhojiwa hawataki wanapandisha mori.  Mid 1990
>> humo ndani ya Serengeti walifukuzwa wahusika wa NGO fulani kutokana na
>> kuhamasisha uchochezi ktk ya GVT/Mbuga ya Hifadhi na wakazi.  Baadhi yao
>> walifika UK kutoa mada na kuhamasisha DFID isitoe Grants na hela nyingine
>> TZ. Waliitaka hivyo kwa kesi ya Mkomazi na bila ya shaka kuondolewa watu
>> Ihefu. Hizi
>>  NGO ni za kuangalia.
>>
>> Utaona pia desturi zetu. Wanavijiji wakiona mhoji ni Mtanzania, wakazi
>> maeneo mengine huwa wema wasikivu na kujadili vitu kiuhalisi. Akifika wa
>> NGO
>> hasa za mataifa ya wageni-utaona wanapamba moto hawaonyesi mema ya GVT na
>> misaada, project zake ilizozigharimia bali ni shutuma tu ili wapate fedha
>> zaidi. Akija mhisani mwingine-yaani ni balaa, hakuna msaada wowote ni
>> zero
>> maisha yao yote. Matokeo ni marudio ya miradi isiyoendelevu, kupoteza
>> hela
>> na watu kuonyesha miradi sio halisi kwa wahisani/wasaidiaji. Bora kuwa na
>> shukrani. Mradi wako anaonyeshwa huyu na yule. Siku mkikutana wote hapo
>> na
>> kuna ukaguzi basi ninyi donors mtaona maajabu. Intersectoral
>> collaboration,
>> coordinated planning ni muhimu na kugawana maeneo ya miradi msirudie
>> rudie
>> eneo moja. Kuna haja ya kupunguza power ya watu wa nje kuingilia mambo
>> yetu
>> nchini na kuchanganya waanchi. Ona safari ya Mh Tibaijuka ilivyoonyesha
>> uvamizi wa mbuga, kulima mazao, kukata miti etc. Sasa huo uharibifu wa
>>  eneo ni serikali na barabara tu? Hiyo overgrazing, extensive farming na
>> ukataji miti ni kitu gani?
>>
>> Hivyo-tangulia kufanya utafiti wa kina (Insitututional survey) upate data
>> na
>> ufahamu wa eneo, kisha ndio ufike kijijini kupata primary data. Ajabu
>> tuliona-vijana (wenye influence wa vyama vya harakati vya ndani na
>> nje-NGO)
>> wanaweza kukemea mzee anayesimama kuongea ukweli. Mila zimebadilika.
>>
>> Tujitetee wenyewe wakenya watetee yao. Hata wamasaai wanataka maendeleo.
>> Umbali ni mkubwa mno ukitoka Loliondo kwenda pande zote au NCAA na kata
>> ziishisho waannchi kwenda Mugumu, Musoma, Mwanza au Arusha. Mchanga, tope
>> na
>> kukwana kutaongeza vifo vya akina mama. Barabara ni muhimu. Wakenya
>> wakatatue matatizo ya squatter areas kwao na land use conflicts,
>> tribalism
>> etc. Watuache.
>>
>>
>>          +255762544553/754763803
>>
>> --- On Sat, 16/3/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
>>
>> From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>> Subject: Re: [wanabidii] Re: FIDIA BARABARA YA SERENGETI-SERIKALI YETU
>> INAWAZA NINI?
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Saturday, 16 March, 2013, 18:16
>>
>> Mbona kuna hata mashtaka mengine dhidi ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa
>> serengeti sio barabara tu na hatuna ujanja ni sisi wenyewe tumekubali
>> kuingia kwenye jumuiya hizi na hata mikataba mengine ya biashara za
>> kimataifa
>>
>> http://www.savetheserengeti.org/issues/airport/tanzania-faces-fresh-pressure-over-airport/
>>
>> Kuhusu friends of serengeti hao wanaofadhili miradi ya maendeleo
>> checki http://friendsofserengeti.org/
>>
>> 2013/3/16  <chachamairi@gmail.com>
>>
>> Bw. Maro!
>>
>> Naelewa si vema kujadili suala ambalo lipo Mahakamani, lakini
>> nimesikitika
>> sana kusikia taarifa hizo kupitia kwako kuwa kuna NGO ambayo imetoa fedha
>> kwa baadhi ya wananchi wa serengeti, ili wasidai barabara!
>>
>>
>>
>> Naweza kusema kuwa huo ni ulaghai na utapeli ongeza usaliti dhidi ya wana
>> serengeti! Maendeleo bila miundo mbinu ya barabara? Hata mtoto wa
>> chekechea
>> hawezi kudanganyika na upumbavu wa aina hiyo!
>>
>>
>>
>> Katika shauri hilo, ni nani anayewawakilisha wakazi wa serengeti? Naomba
>> hao
>> walioandika proposals na kilaghai na kuchukua fedha za wazungu kwa
>> maslahi
>> yao binafsi, huku wakiwadanganya kuwa wamezitoa kwa wakazi wa serengeti,
>> wakome kutumia fursa hiyo kutunyima maendeleo yetu na vizazi vyetu!
>> Wakumbuke iko siku tutalazimika kuwatoa kafara kama wakina Ken wa Jimbo
>> Ogoni huko Nigeria!
>>
>>
>>
>>
>> Tunaomba serikali yetu iendelee na mchakato wa mradi huo wa ujenzi wa
>> barabara, huku serikali ikihakikisha haki za watu waliofuatwa na barabara
>> na
>> kufanyiwa tathmini ya mali zao, wanapata haki zao kwa mujibu wa sheria!
>>
>>
>>
>>
>>  ----------
>>
>> Sent from my Nokia phone
>>
>>
>>
>> ------Original message------
>>
>> From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>
>> Date: Saturday, March 16, 2013 8:15:33 PM GMT+0300
>>
>> Subject: Re: [wanabidii] RE: FIDIA BARABARA YA SERENGETI-SERIKALI YETU
>> INAWAZA NINI?
>>
>>
>>
>> Ndugu Mairi
>>
>>
>>
>> Hili suala liko mahakamani na waliopeleka suala hili mahakamani ni NGO
>> moja
>>
>> ya nchi jirani ambayo imefadhili miradi kadhaa ya maendeleo kwa wananchi
>>
>> wanaoishi karibu na maeneo ambayo barabara inategemewa kujengwa ili
>>
>> wasiweze tena kudai hiyo na pengine hata kuuonyesha ulimwengu kwamba
>>
>> maendeleo yanawezekana bila barabara hiyo kupitishwa mbugani , Sasa
>> tuache
>>
>> sheria ichukuwe mkondo wake .
>>
>>
>>
>> 2013/3/16 <chachamairi@gmail.com>
>>
>>
>>
>>> Naomba kuweka hoja hii wazi mbele ya Wanabidii, ili kupata mtazamo wa
>>
>>> watanzania wengine, na labda kupata ushauri nasaha kwa pande zote
>>> husika.
>>
>>>
>>
>>> Awali, nitoe maelezo kuwa, mnamo mwezi Julai 2010 ilifanyika tathmini
>>> kwa
>>
>>> Wananchi waliokuwa wameguswa na mradi huo wa barabara kwa nyumba zao na
>>
>>> mali nyingine kuwekewa alama ya X kama ishara kuwa sasa hawaruhusiwi
>>
>>> kufanya maendelezo ya aina yoyote ikiwemo ukarabati wa nyumba!
>>
>>>
>>
>>> Wakati huo, yalitolewa maelekezo kutoka kwa viongozi kadhaa wa kitaaluma
>>
>>> na kisiasa kuwa, fidia ingelipwa ndani ya kipindi cha miezi sita.
>>
>>>
>>
>>> Kwa niaba ya waathiriwa wa mradi huo wa barabara, nasikitika kuandika
>>
>>> kuwa, mpaka sasa hakuna fidia iliyolipwa, na hakuna maelezo wala
>>> maelekezo
>>
>>> kutoka kwa viongozi wataaluma na wasiasa kwa waathiriwa nini cha
>>> kufanya!
>>
>>>
>>
>>> Linalosikitisha zaidi ni kuwa, baadhi ya nyumba sasa zimeanza
>>> kutengeneza
>>
>>> nyufa na kuanguka, huku wenye nazo wakiogopa kuingia gharama ambayo
>>
>>> haitambuliki na tathmini iliyokwisha fanyika mwaka 2010!
>>
>>>
>>
>>> Wanabidii wenye taaluma ya sheria, naomba waone umuhimu wa kuwashauri
>>
>>> wahusika wa pande zote, yaani serikali itoe tamko juu ya mradi huo na
>>
>>> tathmini hiyo. Aidha, watoe ushauri kwa waathiriwa nini cha kufanya ili
>>
>>> kutetea haki zao ambazo kwa sasa zimecheleweshwa, kitendo ambacho ni
>>> sawa
>>
>>> na kuzipoteza!
>>
>>>
>>
>>> Naomba kuwasilisha!
>>
>>>
>>
>>>  ----------
>>
>>> Sent from my Nokia phone
>>
>>>
>>
>>> --
>>
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>>>
>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>
>>> ukishatuma
>>
>>>
>>
>>> Disclaimer:
>>
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>> ---
>>
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>
>>> "Wanabidii" group.
>>
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>>
>>
>>>
>>
>>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
>>
>> www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities
>>
>> www.naombakazi.blogspot.com
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>> www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africawww.jobsunited.blogspot.com
>> International Job Opportunities
>> www.naombakazi.blogspot.com
>>
>>
>>
>>
>> --
>>
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>>
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>>
>>
>> Disclaimer:
>>
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>> ---
>>
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>>
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment