Wednesday 13 March 2013

Re: [wanabidii] New Pope is Cardinal Jorge Bergoglio from Argentina is elected Pope Francis

Kenneth, kila jamii ya watu ina utaratibu wake. Mfano, ni familia zetu:
1. Kuna familia baba/mama hawajui mshahara wa kila mmoja wao.
2. Kuna familia (including mine) kila mmoja anajua mshahara wa
mwenzake na wanatumia fedha zao kwa usawa/kulingana na mahitaji ya
kila mmoja.
3. Kwa vile dhana ya uwakilishi kuanzia familia ni tofauti si rahisi
kwa ngazi zinazofuata uwakilishi huo uwe wa aina ileile katika kila
dhehebu/kanisa/dini.
4. Kwa maneno mengine, hutaweza kuelewa dhana ya uwakilishi ndani ya
Kanisa Katoliki unless umezama katika mafundisho yake na unaweza na
wewe mwenyewe unajiendeleza katika kujua ni kitu gani kinaendelea
ndani ya Kanisa Katoliki. Si tu kwa kusoma kwenye internet na
magazeti, lakini pia kwa kuishi imani Katoliki ya Mitume.

On 3/14/13, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
> Wasiojua "spirituality" ya Kanisa Katoliki niwaambie hivi:
> 1. Unapoomba kwenda seminari ndogo (minor seminary - Form I-VI)
> unatuma maombi kwenye jumuia/kigango au parokia yako. Maombi yako
> yakikubaliwa yanapelekwa jimboni au shirikani (kwa waombaji wanaotaka
> kujiunga na mashirika kama Jesuits, White Fathers (Missionaries of
> Africa), Benedictines, Capuchins etc.
>
> 2. Wakati wote wa malezi ya upadre (kuanzia seminari ndogo hadi
> seminari kuu) wanajumuia/kigango/parokia ndio waamuzi wakuu juu ya
> wito wako maana ndio wenye taarifa zako na jinsi unavyoendelea
> kimaadili/kimaisha.
>
> 3. Ukiomba uwe shemasi/padre taarifa zinatumwa kwenye
> jumuia/kigango/parokia na ndio maana kabla ya kuwa shemashi au padre
> unatolewa muda wa matangazo kanisani kwa muunini au mtu yeyote mwenye
> pingamizi dhidi ya wito wa mwombaji apeleke kwenye mamlaka husika
> (kwenye jumuia/parokia/jimboni/shirikiani). Mwombaji akipita katika
> ngazi hii, wahusika wa ngazi nyingine wanashiriki pia. Kila
> shemasi/padre/askofu ana faili lake: kila anachokifanya kinarekodiwa
> kwenye faili kwa ajili ya kumbukumbu za baadaye.
>
> 4. Padre anapendekezwa kuwa askofu kutokana na sifa ambazo anazo toka
> akiwa seminari ndogo/seminari kuu/shemasi/padre.
>
> 5. Askofu anapendekezwa kuwa kardinali kutokana na sifa alizaokuwa
> nazo toka akiwa seminari ndogo/seminari kuu/shemasi/padre/askofu.
>
> 6. Kardinali anapendekezwa/chaguliwa kuwa papa kutokana na sifa
> alizokuwa nazo tangu akiwa seminari ndogo/seminari
> kuu/shemasi/padre/askofu/kardinali.
>
> 7. Kwa hiyo, kila jamii wa waumini (the Faithful of God)
> wanashirikishwa katika mchakato mzima na kila ngazi ya jumuia
> inashiriki. Ila wapinzani, of course, hawaoni huu ushirikishwaji wa
> wanajumuia,waumini, katika ngazi zao mbalimbali maana hawajui na
> wasiojua ni kama wako kwenye usiku wa giza.
>
> On 3/13/13, Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com> wrote:
>> Kwani nani kusema Petro alihitaji mwakilishi? Kwani mtu anahitaji
>> mwakilishi
>> katika mazingira gani? Je Petro anafit katika mazingira hayo? Nifikiri
>> itabidi kuwa more analytical.
>>
>>
>>
>> Sent from my iPad
>>
>> On 14 Mac 2013, at 1:36, allenmpanduji@yahoo.com wrote:
>>
>>> Nope,he isn't,ila ni mwakilishi wa Petro,kwa maana ya kwamba ni
>>> msimamizi
>>> mkuu wa kanisa na shughuli zote za kitume ndani ya Kanisa Katoliki.
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>>
>>> -----Original Message-----
>>> From: ezekielmassanja@gmail.com
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Wed, 13 Mar 2013 19:42:15
>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: Re: [wanabidii] New Pope is Cardinal Jorge Bergoglio from
>>> Argentina
>>> is elected Pope Francis
>>>
>>>
>>>
>>> Hapana siye.
>>>
>>>
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>>>
>>> -----Original Message-----
>>> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Wed, 13 Mar 2013 12:40:18
>>> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Subject: [wanabidii] New Pope is Cardinal Jorge Bergoglio from Argentina
>>> is
>>> elected Pope Francis
>>>
>>> Huyu ndio mwakilishi wa Mungu duniani ?
>>>
>>> On Mar 13, 10:34 pm, Hermengild Mayunga <drmayu...@gmail.com> wrote:
>>>> The New Pope is Cardinal Jorge Bergoglio from Argentina is elected Pope
>>>> Francis.
>>>>
>>>> It might be Good for the Catholic Church now to have Pope from Outside
>>>> Europe. Something Good might come.
>>>>
>>>> drmayu...@gmail.com
>>>> tap...@parliamentary.go.tzwww.twitter.com/drmayunga
>>>> Tel +255 784 520680
>>>> Tel +255 752 520680
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment