Wednesday 13 March 2013

Re: [wanabidii] New Pope is Cardinal Jorge Bergoglio from Argentina is elected Pope Francis

Wasiojua "spirituality" ya Kanisa Katoliki niwaambie hivi:
1. Unapoomba kwenda seminari ndogo (minor seminary - Form I-VI)
unatuma maombi kwenye jumuia/kigango au parokia yako. Maombi yako
yakikubaliwa yanapelekwa jimboni au shirikani (kwa waombaji wanaotaka
kujiunga na mashirika kama Jesuits, White Fathers (Missionaries of
Africa), Benedictines, Capuchins etc.

2. Wakati wote wa malezi ya upadre (kuanzia seminari ndogo hadi
seminari kuu) wanajumuia/kigango/parokia ndio waamuzi wakuu juu ya
wito wako maana ndio wenye taarifa zako na jinsi unavyoendelea
kimaadili/kimaisha.

3. Ukiomba uwe shemasi/padre taarifa zinatumwa kwenye
jumuia/kigango/parokia na ndio maana kabla ya kuwa shemashi au padre
unatolewa muda wa matangazo kanisani kwa muunini au mtu yeyote mwenye
pingamizi dhidi ya wito wa mwombaji apeleke kwenye mamlaka husika
(kwenye jumuia/parokia/jimboni/shirikiani). Mwombaji akipita katika
ngazi hii, wahusika wa ngazi nyingine wanashiriki pia. Kila
shemasi/padre/askofu ana faili lake: kila anachokifanya kinarekodiwa
kwenye faili kwa ajili ya kumbukumbu za baadaye.

4. Padre anapendekezwa kuwa askofu kutokana na sifa ambazo anazo toka
akiwa seminari ndogo/seminari kuu/shemasi/padre.

5. Askofu anapendekezwa kuwa kardinali kutokana na sifa alizaokuwa
nazo toka akiwa seminari ndogo/seminari kuu/shemasi/padre/askofu.

6. Kardinali anapendekezwa/chaguliwa kuwa papa kutokana na sifa
alizokuwa nazo tangu akiwa seminari ndogo/seminari
kuu/shemasi/padre/askofu/kardinali.

7. Kwa hiyo, kila jamii wa waumini (the Faithful of God)
wanashirikishwa katika mchakato mzima na kila ngazi ya jumuia
inashiriki. Ila wapinzani, of course, hawaoni huu ushirikishwaji wa
wanajumuia,waumini, katika ngazi zao mbalimbali maana hawajui na
wasiojua ni kama wako kwenye usiku wa giza.

On 3/13/13, Kenneth Masuki <kennymasuki@gmail.com> wrote:
> Kwani nani kusema Petro alihitaji mwakilishi? Kwani mtu anahitaji mwakilishi
> katika mazingira gani? Je Petro anafit katika mazingira hayo? Nifikiri
> itabidi kuwa more analytical.
>
>
>
> Sent from my iPad
>
> On 14 Mac 2013, at 1:36, allenmpanduji@yahoo.com wrote:
>
>> Nope,he isn't,ila ni mwakilishi wa Petro,kwa maana ya kwamba ni msimamizi
>> mkuu wa kanisa na shughuli zote za kitume ndani ya Kanisa Katoliki.
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>>
>> -----Original Message-----
>> From: ezekielmassanja@gmail.com
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Wed, 13 Mar 2013 19:42:15
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] New Pope is Cardinal Jorge Bergoglio from
>> Argentina
>> is elected Pope Francis
>>
>>
>>
>> Hapana siye.
>>
>>
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>>
>> -----Original Message-----
>> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Wed, 13 Mar 2013 12:40:18
>> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: [wanabidii] New Pope is Cardinal Jorge Bergoglio from Argentina
>> is
>> elected Pope Francis
>>
>> Huyu ndio mwakilishi wa Mungu duniani ?
>>
>> On Mar 13, 10:34 pm, Hermengild Mayunga <drmayu...@gmail.com> wrote:
>>> The New Pope is Cardinal Jorge Bergoglio from Argentina is elected Pope
>>> Francis.
>>>
>>> It might be Good for the Catholic Church now to have Pope from Outside
>>> Europe. Something Good might come.
>>>
>>> drmayu...@gmail.com
>>> tap...@parliamentary.go.tzwww.twitter.com/drmayunga
>>> Tel +255 784 520680
>>> Tel +255 752 520680
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment