Sunday 24 March 2013

Re: [wanabidii] Naibu Waziri wa Elimu sasa mambo yake safi

Matinyi,
Ndiyo Tanzania hiyo.Afadhali basi angekuwa anauwezo hata kama ametumia majina ya watu na akawa ameenda shule.Wengine wanatumia nyeti kabisa.
Kisha unampa dhamana ya elimu.
Nakupenda Tanzania.





Walewale.



From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>; Mabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Sent: Monday, March 25, 2013 12:55 AM
Subject: [wanabidii] Naibu Waziri wa Elimu sasa mambo yake safi

Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo, anadaiwa kutumia ujanja katika wasifu na elimu yake ambapo katika maisha yake ya kielimu ametumia majina manne tofauti.
 
http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/-/1597296/1729652/-/item/0/-/mxbsy6/-/index.html
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment