Monday 25 March 2013

Re: [wanabidii] Nafasi ya Tanzania Kombe la Dunia 2014 Brazil

Sawa ndg Amour tujipe moyo na tutegemee rehema za Mwenyezi Mungu tufike huko tunakopenda. Ila kwa jinsi ilivyo bado kuna mlima mkubwa wa kupanda. Najua watz tunapenda sana soka ila pia tunapenda soka ya magazetini na maneno mengi kama Uingereza but uwanjani tuko chini sana. Hadi tutakapoacha maneno na kuingia uwanjani na kufanya kazi ndo hapo tutakapopiga hatua

On Mar 25, 2013 9:40 AM, "amour chamani" <abachamani@yahoo.com> wrote:
Mwita,
Ni kweli lakini wakati mwingine yale yasiyotegemewa hutokea.Nani alitegemea kuona Mashindano haya yakiwa bila vigogo duniani kama Ufaransa na England au kukosekana kwa timu kubwa Afrika.
Hebu angalia kwa mfano Zaire na sasa DRC wana maandalizi gani katika kombe hili lakini si unajua wamepata kuingia bwana.
Hebu tujipe hata huo moyo tu kwamba tuna weza japo kwa kubahatisha japo mchango mkubwa nauona kutoka AZAM na hao wachezaji wetu wa Mazembe.

Walewale.

From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, March 25, 2013 9:28 AM
Subject: Re: [wanabidii] Nafasi ya Tanzania Kombe la Dunia 2014 Brazil

Mobhare na watanzania wenzangu wapenda nchi yetu na soka yetu natamani haya mnayoandika ndio yangetokea hadi uwanjani. Lakini nina wasi wasi kama tutafika huko. Soka inahitaji maandalizi ya kutosha na uwekezaji. Nionavyo mm bado tuna safari ndefu ya fainali ya kombe la dunia. Sijawahi kuona nchi iliyofika katika fainali ya kombe la dunia kwa ujanja ujanja. Tuiombee timu yetu ili Mungu afanye miujiza ndo tunapoweza kufika huko
On Mar 25, 2013 7:56 AM, "amour chamani" <abachamani@yahoo.com> wrote:
Matinyi,
Napenda unavyojipa moyo.Lakini inawezekana kwani wao wana nini?
Ila ligi yetu ya ndani inatuangusha sana.Labda ujio wa AZAM na mipango yao twaweza kuvuka jamani.

Walewale.

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
To: Mabadiliko <mabadilikotanzania@googlegroups.com>; Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, March 24, 2013 8:00 PM
Subject: [wanabidii] Nafasi ya Tanzania Kombe la Dunia 2014 Brazil

Group C
Team MP W D L GF GA Pts
Ivory Coast 3210727
Tanzania32015 46
Morocco3021462
Gambia 3012261
 
Msimamo hadi leo.........ni hapo juu. FIFA wanatuzungumzia kwenye baa zao zote leo.
Tanzania tunarudiana na Moroko hapo Juni 7, 2013. Tutachezea Moroko na tutashinda.
Baada ya hapo, tutacheza na Gambia kwao na Kodivaa Dar es Salaam. Tutashinda mechi zote.
Baada ya hapo kutakuwa na washindi wa makundi kumi, na tutapangiwa mshindi mmoja ili tukipige naye kwao na kwetu.
Tutashinda.
Mwaka 2014 tuko Brazili kwenye Kombe la Dunia na tutaishia robo fainali kwa uhuni wa refa.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment