Tuesday 12 March 2013

Re: [wanabidii] MRADI WA BENKI

Theonest/Lushengo/Boniface,

Naomba msome posting zangu za leo. Kama hamkunielewa nitayajibu maswali yenu specific.

Theonest

Kwenye ujumbe wangu sikusema kulipia nimesema kuomba idadi ya hisa unazozitaka. Halafu tutaweka utaratibu wa kuzilipia hisa utakazoomba hapo baadaye. Hay ni mabo yanawezekana tu.


From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, March 12, 2013 12:11 PM
Subject: Re: [wanabidii] MRADI WA BENKI

Hapa mnaniacha nyuma.

On Tuesday, March 12, 2013, Lushengo Lutinwa <lutinwa@gmail.com> wrote:
> Petro, 
> Na mimi nikushukuru kwa juhidi zako, 
> Ila naomba msaada wako utakaonisaidia kufanya informed decision. Unaweza ku-post financial statements za hiyo kampuni ya mafuta kwa kipindi cha miaka 3 iliyopita?
> Mbona nitakushukuru tena.
>
> LL
> 2013/3/12 Theonest Evarist Bahemuka <tbahemuka@gmail.com>
>
> Peter
>
> Nashukuru sana kwa taarifa yako, na moyo wako wa kujitoa kwa kundi
> hili katika kutafuta kila njia ili kuleta mafanikio. Mimi binafsi
> nilijiandikisha kwa mwanahisa katika mradi wa benki, ila sikuwa
> nimechangia kwa wakati huo. Sasa katika kampuni hi ya mafuta, ni
> lazima kununua hisa zote kwa mkupuo au wapweza kununua hisa kidogo
> kidogo hadi zifikie hisa laki moja hadi tano? Maana kama nitazinunua
> hisa zote kwa mkupuo mmoja ina maana nitoe kati ya shilingi 10M na
> 50M, naomba ufafanuzi
>
> Bahemuka
>
> On 3/12/13, Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com> wrote:
>> Mwesiga,
>>
>> Naomba usome vizuri ujumbe wangu kuhusu shilingi 1.1 milioni. Ni michango ya
>> watu mbali mbali kwa ajili ya mradi wa benki.
>> Kampuni ya mafuta inazo hisa milioni 42 kwa ajili ya wanahisa wapya. Kila
>> hisa moja ina thamani ya kuandikishwa ya shilingi 100. Ili uweze kuwa
>> mwanahisa lazima kwanza uonyeshe nia ya kuwa mwanahisa. Halafu uombe hisa
>> kati ya laki moja na laki tano.
>>
>> Kama ulikuwa umejiandikisha kuwa mwanahisa je ungependa kujiandikisha kuwa
>> mwanahisa kwenye kampuni hii ya mafuta? Ndicho kinachotakiwa.
>>
>> Peter
>>
>>
>>
>>
>> ________________________________
>>  From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Tuesday, March 12, 2013 9:53 AM
>> Subject: Re: [wanabidii] MRADI WA BENKI
>>
>> Bwana peter mie sikuwa nimetoa hela mara ya kwanza ila nilijiandikisha
>> kuwa mwanahisa. Sa kwa hili la mafuta kuwekeza inatakiwa 1.1m au hiyo
>> ndo hela ilikuwa kwenye mradi wa benki? Nini inatakiwa kwa mtu
>> kuwekeza kwenye kampuni ya mafuta
>>
>> On 3/12/13, Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com> wrote:
>>> Wanabidii,
>>>
>>> Habari za siku nyingi,
>>>
>>> Napenda kuwafahamisha wote kwamba baada ya kupata muitikio mdogo kwenye
>>> mradi wa benki tumeamua kuwekeza katika kampuni ya kuagiza mafuta masafi
>>> (refined white petroleum products). Maandalizi yako tayari ikiwa ni
>>> pamoja
>>> na usajiri wa kampuni.
>>>
>>>
>>> Wale wote waliochangia mradi wa benki fedha zao ziko salama. Ni kama
>>> shilingi 1.1 milioni. Kama watakubali kuwa wanahisa wa kampuni hii ya
>>> mafuta
>>> tutawashukuru sana kuliunga mkono wazo hili.
>>>
>>>
>>> Kwa wale waliokuwa wamejiorodhesha kuwa wanahisa wa kwanza wa benki
>>> tungependa kusikia mawazo yao kama wako tayari kujiunga na kampuni hii ya
>>> mafuta.
>>>
>>> Kumbuka: Mradi wa benki bado haujaachwa. Umesimamishwa kwa muda. Baada ya
>>> kuisimamisha kampuni ya mafuta tutakuwa tayari kwa ajili ya kuendelea na
>>> wazo la mradi wa benki.
>>>
>>> Mnasemaje?
>>>
>>>
>>> Peter
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>  
>  
> --
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment