Monday 11 March 2013

Re: [wanabidii] MRADI WA BENKI

Bwana peter mie sikuwa nimetoa hela mara ya kwanza ila nilijiandikisha
kuwa mwanahisa. Sa kwa hili la mafuta kuwekeza inatakiwa 1.1m au hiyo
ndo hela ilikuwa kwenye mradi wa benki? Nini inatakiwa kwa mtu
kuwekeza kwenye kampuni ya mafuta

On 3/12/13, Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com> wrote:
> Wanabidii,
>
> Habari za siku nyingi,
>
> Napenda kuwafahamisha wote kwamba baada ya kupata muitikio mdogo kwenye
> mradi wa benki tumeamua kuwekeza katika kampuni ya kuagiza mafuta masafi
> (refined white petroleum products). Maandalizi yako tayari ikiwa ni pamoja
> na usajiri wa kampuni.
>
>
> Wale wote waliochangia mradi wa benki fedha zao ziko salama. Ni kama
> shilingi 1.1 milioni. Kama watakubali kuwa wanahisa wa kampuni hii ya mafuta
> tutawashukuru sana kuliunga mkono wazo hili.
>
>
> Kwa wale waliokuwa wamejiorodhesha kuwa wanahisa wa kwanza wa benki
> tungependa kusikia mawazo yao kama wako tayari kujiunga na kampuni hii ya
> mafuta.
>
> Kumbuka: Mradi wa benki bado haujaachwa. Umesimamishwa kwa muda. Baada ya
> kuisimamisha kampuni ya mafuta tutakuwa tayari kwa ajili ya kuendelea na
> wazo la mradi wa benki.
>
> Mnasemaje?
>
>
> Peter
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment