Wednesday 6 March 2013

Re: [wanabidii] mhariri Kibanda kukimbizwa sauth leo

Baada ya kuuawa kwa Padre Evaristus Mushi, Rais Jakaya Kikwete ameagiza FBI waje kuchunguza tukio hilo. Pengine sasa matukio haya ya kushambuliwa tangu lile la Dk Ulimboka na sasa Kibanda nayo yatafutiwe FBI wa kuchunguza, maana siyo jeshi la polisi wala usalama wa Taifa wenye uwezo huo, hata JK analijua hilo ndiyo maana amekimbilia kuwaita FBI.

--- On Wed, 3/6/13, mobini sarya <mobinsons@yahoo.com> wrote:

From: mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
Subject: [wanabidii] mhariri Kibanda kukimbizwa sauth leo
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, March 6, 2013, 5:13 AM

wanabidii

tumepokea kwa masikitikitiko tukio la kuvamiwa na kupigwa kwa mhariri mtendaji wa magazeti ya New Habari,ndugu Absalom Kibanda, taarifa za mchana huu ni kwamba baada ya hali yake kutokuwa nzuri Muhimbiri , mkurugenzi wake ndugu Bashe amewaaambia wandishi kuwa wanajiandaa ikiwezekana leo jioni apelekwa afrika kusini katika hospitali iliyomuokoa Dk.ulimboka.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment