Thursday 7 March 2013

Re: [wanabidii] mhariri Kibanda kukimbizwa sauth leo

kadhia  ya watu kuuliwa au kujeruhiwa na wahusika wakashindwa kutiwa mikononi mwa vyombo vya dola inatisha kweli kweli. kumbukumbu zangu za hivi karibuni alianza Profesa Mwaikusa, dr. Ulimboka, Mwangosi, Issa Ngumba kule Kigoma, Kibanda na kesho mimi au wewe.

hatua ya serikali ya kuomba msaada wa FBI ni nzuri lakini ingekuwa ya manufaa zaidi kama ungekuwa ni msada wa mafunzo kwa polisi wetu ambao kwa hakika wameelemewa na majambazi hao watoa roho za watu.

pole ndugu yangu KIBANDA, Mungu; tabibu wa kweli atakuponya na utarudi barabarani. sote tumuombee.

From: Elias Msuya <emsuya2001@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, 6 March 2013, 18:22
Subject: Re: [wanabidii] mhariri Kibanda kukimbizwa sauth leo

Baada ya kuuawa kwa Padre Evaristus Mushi, Rais Jakaya Kikwete ameagiza FBI waje kuchunguza tukio hilo. Pengine sasa matukio haya ya kushambuliwa tangu lile la Dk Ulimboka na sasa Kibanda nayo yatafutiwe FBI wa kuchunguza, maana siyo jeshi la polisi wala usalama wa Taifa wenye uwezo huo, hata JK analijua hilo ndiyo maana amekimbilia kuwaita FBI.

--- On Wed, 3/6/13, Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com> wrote:

From: Mashaka Mgeta <mgeta2000@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] mhariri Kibanda kukimbizwa sauth leo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, March 6, 2013, 6:55 AM

Mwenyezi anyooshe mkono wake ili ndugu yetu Kibanda arejee kwa amani, afya na uzima. Lakini pamoja na maombi hayo, matukio haya ni HATARI kwa nchi na yanaenea kwa kasi, tunakwenda wapi?

Tufanye nn kuliepuka jinamizi hili??????

--- On Wed, 3/6/13, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> wrote:

From: Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] mhariri Kibanda kukimbizwa sauth leo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, March 6, 2013, 5:52 AM

Mbaya sana hii, tunamuombea Mungu amponye.

Felix

On 6 March 2013 05:16, MaryGlady Heri <mglady2@gmail.com> wrote:
So sad but God will reprisal we pray for his quick recovery in the name above all name's Jesus Christ.

2013/3/6 mobini sarya <mobinsons@yahoo.com>
wanabidii

tumepokea kwa masikitikitiko tukio la kuvamiwa na kupigwa kwa mhariri mtendaji wa magazeti ya New Habari,ndugu Absalom Kibanda, taarifa za mchana huu ni kwamba baada ya hali yake kutokuwa nzuri Muhimbiri , mkurugenzi wake ndugu Bashe amewaaambia wandishi kuwa wanajiandaa ikiwezekana leo jioni apelekwa afrika kusini katika hospitali iliyomuokoa Dk.ulimboka.
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment