Monday 25 March 2013

Re: [wanabidii] Kusoma India

Kumekuwa na minong'ono kwamba hii ni njia mojawapo ya People trafficing ya kwenda ASIA hasa vijana, je hapa unatuondolea wasiwasi huo ili tuwaruhusu vijana wetu waanze kuomba?
 
K.E.M.S.
From: Ally Ahmed <aahmeda50@hotmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Monday, 25 March 2013, 0:55
Subject: [wanabidii] Kusoma India

Salaam!
Za asubuhi!Nafasi za masomo kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na cha tank nchini India kwa gharama nafuu.
Kumpeleka mtoto nchi nyingine si kwa matajiri peke yake bali hata kwetu sisi tunaotaka kuwapatia watoto wetu elimu bora.India ni sehemu ambayo mtoto atafursa ya kujitegemea na kuona maisha tofauti inayomjenga mtoto kuwa na fikra na kumtoa katika dimbwi lakutegemea na kumpeleka katika upande wa kujitegemea.
India na katika moja ya ambayo wanajali elimu na hawana migongano mingi ambayo inamuathiri mwanafunzi akiwa huko.Walimu wenye kulazimishwa kumaliza syllabus kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanaelewa na kufanya vizuri na hakuna swala la maandamano wala ugomvi aina yoyote unaoruhusiwa Chuo.
Hizi ni baadhi ya course zitolewapo chuoni hapo kwa waliomaliza form 4;
PCMB - Physics, Chemistry, Mathematics, Biology
PCMC - Physics, Chemistry, Mathematics, Comp. Science
PCME - Physics, Chemistry, Mathematics, Electronics
PCBH - Physics, Chemistry, Biology, Home science
•Optional Subjects Combination: Commerce Stream
CSBA - Computer Science, Statistics, Business Studies, Accounts.
CEBA - Computer Science, Economics, Business Studies, Accounts.
HEBA - History, Economics, Business Studies, Accounts.
•Optional Subjects Combination: Arts Stream
HEPK - History, Economics, Psychology, Kannada.
HEPP - History, Economics, Psychology, Political Science.
HEPS - History, Economics, Political Science, Sociology
Na kwa waliomaliza form 6;
•B.Sc. Biotechnology, Genetics, Biochemistry
•B.Sc. Biotechnology, Chemistry, Zoology
•B.Sc. Biotechnology, Chemistry, Botany
•B.Sc. Genetics, Microbiology, Biochemistry
•B.Sc. Genetics, Biochemistry, Biotechnology
•B.Sc. Microbiology, Chemistry, Zoology
•B.Sc. Biochemistry, Microbiology, Botany
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Electronics
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Physics
•B.Sc. Computer Science, Mathematics, Statistics
•B.Sc. Electronics, Mathematics, Physics
•B.Com. Bachelor of Commerce
•B.C.A. Bachelor of Computer Applications
•B.A Journalism, Psychology, Optional English
•B.A Journalism, Political Science, Optional English
•B.B.M. Bachelor of Business Management.
Kwa waliomaliza form 4 course ni ya miaka miwili ambayo baada ya hapo ataweza kusoma degree na tution fees ni $3000 kwa miaka yote miwili.
Na kwa waliomaliza form 6 course zote ni $5500 kwa miaka yote mitatu.Miongoni mwa baadhi ya vyuo hivyo bora India.
Website: www.karnatakaeducationtrust.com na www.iadcollege.com
Contact us for admission
aahmeda50@hotmail.com au 0655492431.

Sent from my Windows Phone
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 


0 comments:

Post a Comment