Friday 8 March 2013

Re: [wanabidii] Kenyatta kuitawala Kenya

Hamisi A. Kigwangalla

Waliosababisha amani itoweke Kenya 2007 ni hao hao mnaowaita wahuni wachache. Wizi wa kura ni dhambi mbaya kuliko hata ya wizi wa rasilimali. Kwani tumaini la kila mtu inakuwa kwenye kumuweka kiongozi anayedhania ataliondoa hilo la wizi wa rasilimali. Sasa kama wahuni wachache walioko madarakani na kwenye dola watatumia vibaya jeshi, polisi na wataalamu wa IT kuiba kura ni dhambi kubwa sana na vita inaanzia hapo. 

Matinyi hatutegemei hilo kutokea kwani serikali yetu ni sikivu na makini ndio maana wameruhusu katiba mpya ambayo haitachakachuliwa chini ya uongozi makini wa Jaji mstaafu Warioba. Na haya yametokea kama kujifunza kwa Kenya 2007, Na huu uchaguzi Tumejifunza zaidi kwamba haki ikitendeka huwa hakuna fujo

Real Change for Real Development,  

Lemburis Kivuyo
+255654650100/078 7665050/0755646470
Website: www.kivuyo.com,  Skype: lekivuyo, Facebook: http://facebook.com/lemburis.kivuyo, Titter: http://twitter.com/lembu1, Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo, Google+: gplus.to/lembukivuyo

2013/3/9 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Tungekuwa kwenye kiti tumekaa ningekwambia.
Ni hivi, tatizo letu ni kwamba tuna dalili zote lakini hatuamini kwamba zipo.
Kitaalamu pia, tulishavuka mstari ambao mataifa yote yakivuka huwa yanalipuka lakini sisi tukaminya.
Kama hatutatenganisha ujinga uliopo sasa na busara, tunaondoka na maji 2015.
Bahati nzuri nitakuwepo nyumbani kupiga kura 2015, kwa hiyo kikilia na mimi nitaumia.
Sipendi tufike huko, hivyo bora niwe mkweli.
Kuna upepo mbaya unachongwa.
 
Date: Sat, 9 Mar 2013 03:53:13 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Kenyatta kuitawala Kenya
From: hkigwangalla@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Hongera kwake Uhuru...alete uhuru wa kweli kwa wakenya sasa! 

Matinyi, kwanini unakuwa pessimistic na Tz? Mbona kuna kila dalili ya kusonga mbele kwa amani? Ukiondoa wahuni wachache tu 

2013/3/9 Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Hadi usiku wa manane kwa saa za Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta alikuwa amemwacha Raila Odinga kwa kama milioni nzima huku zilizobakia zikiwa hazina dalili za kuziba pengo hilo.
 
Shughuli itakuwa imekwisha kufikia asubuhi kwani kuna uhakiki tu unaofanyika sasa, na Uhuru amevuka 50% na watu wake makini wamekuwa wakisherehekea kwenye chuo kikuu kimoja.
 
Hongera Wakenya kwa kufanya uchaguzi kwa amani ukiondoa ule upuuzi wa ki-al Shabab/al Qaeda wa Mombasa ulitokea alfajiri ya Jumatatu.
 
Tanzania, sasa ni zamu yetu: Ama tuwe kama Kenya ya 2007/08 au tuwe kama tunavyodhaniwa.
 
Kila dalili inaonesha kwamba tutakuwa Kenya ya 2007/08 - kazi kwetu!
 
Matinyi.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment