Monday 18 March 2013

Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda

Tony,
 
"Busara" waliyotumia CHADEMA ni sawa na ya mgonjwa mwenye mkono uliooza lakini hataki ukatwe na matokeo yake ana-risk kufa. Image ya chama ingepewa kipaumbele kuliko image ya mtu mmoja katika chama. Na kama kweli mhusika anakipenda chama chake, angeji-sacrifice kwa ajili ya hicho chama. Watu watakuja na kupita lakini chama lazima kiendelee. Kwa kushikamana na mtuhumiwa, kama ulivyosema, inaonyesha kuwa lao moja. Sasa inabidi washinde hiyo kesi, otherwise wana-risk kuwa deregistered kwa mujibu wa sheria za nchi.
 
Sijui kama wataalam wa management wanakubaliana na hii approach ya crisis management ya CHADEMA. Hii approach kama itafanikiwa basi ni Tanzania tu. Lakini nchi nyingine, hasa zilizoendelea, it is doomed. Bado sijaelewa busara ya hawa "learned friends" lukuki wa CHADEMA katika hili.

2013/3/18 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Mr Magafu,

Umeongea la maana sana. Chadema wamemwekea mawakili 5, Dr Slaa alimsafisha hata kabla hawajafahamu wakosaji ni akina nani na ushahidi ni upi. Inaonyesha ni maamuzi ya chama chao ndio sababu hawajakana na kulaani kama tuhuma ni kweli wangependa aadhibiwe!

Miscalculations nyingi, tangu maongezi yao ya siri, kuropoka kwa Lwakatare na Ludovick na kurekodiwa, Uongozi wa Chadema kujitokeza kutaka kumsafisha mtuhumiwa na hadi kumwekea mawakili na kuwalipa advance payment toka mfuko wa Chadema.

Wahenga walishasema ujanja mwingi mara nyingi unaondosha maarifa!
------Original Message------
From: Mgaywa GMD Magafu
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda
Sent: Mar 18, 2013 15:15

Bila kuingiza mapenzi ya kisiasa, hakuna Mtanzania yeyote anayestahili kufanyiwa kile kilichokuwa kikielezwa katika hiyo clip. Awe mwana CCM, awe mwana CHADEMA ama chama kingine cha kisiasa. Awe mwandishi wa habari wa Mwananchi ama gazeti lingine. Awe mwandishi wa habari ama mkulima. Umafia katika serikali/chama ni kosa la jinai.   CHADEMA wangejifunza kutoka kwa Majid Mjengwa ingependeza. Badala ya kushikamana na mtuhumiwa, wangemkana mara moja pamoja na clip yake. Wanasheria wanaweza kusema kuwa bado ni mtuhumiwa lakini ni vizuri kutambua kuwa uamzi ambao ni mzuri kisheria si lazima uwe mzuri kisiasa. Uamzi mzuri katika suala hili, kwa maoni yangu, ni kumkana mtuhumiwa na kile alichokuwa akihubiri kwenye clip mpaka pale atakapojisafisha mahakamani. Na kukana huko kulitakiwa kufanyike mara moja.   Lakini hata hivyo kwa Tanzania, yote ni upepo tu yatapita. 2013/3/18 amour chamani <abachamani@yahoo.com> Mtoi na Rehani, Mambo yanakwendaje tena huko? Mpoo! Walewale. From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>; "tony_uk45@yahoo co. uk" <tony_uk45@yahoo.co.uk> Sent: Monday, March 18, 2013 2:00 PM Subject: Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda Tony PT Mbinu zao zimejulikana sasa wanahaha kila mahali. Nasikia wengine wamehama mjini. Kama kweli walikuwa wanatenda haki kwa nini waogope hivyo? Kibaya zaidi wamewatupia akili watoto wetu mambo machafu ya kutosikiliza bali fujo tu kumbe wao ......... inatia uchungu sana. Wauane wao wenyewe watuachie watoto wetu na Tanzania yetu yenye amani. Sent from Yahoo! Mail on Android From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>; To: <wanabidii@googlegroups.com>; Subject: Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda Sent: Mon, Mar 18, 2013 10:52:13 AM EK Nasikia habari zisizo rasmi kuwa hata ZKabwe amekoswakoswa kutekwa, akasepa! Ndio mambo yao hayo! ------Original Message------ From: ezekiel kunyaranyara Sender: wanabidii@goog
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment