Monday 18 March 2013

Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda

Mtoi na Rehani,
Mambo yanakwendaje tena huko?
Mpoo!

Walewale.

From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>; "tony_uk45@yahoo co. uk" <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Sent: Monday, March 18, 2013 2:00 PM
Subject: Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda

Tony PT
Mbinu zao zimejulikana sasa wanahaha kila mahali. Nasikia wengine wamehama mjini. Kama kweli walikuwa wanatenda haki kwa nini waogope hivyo? Kibaya zaidi wamewatupia akili watoto wetu mambo machafu ya kutosikiliza bali fujo tu kumbe wao ......... inatia uchungu sana. Wauane wao wenyewe watuachie watoto wetu na Tanzania yetu yenye amani.
Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda
Sent: Mon, Mar 18, 2013 10:52:13 AM

EK

Nasikia habari zisizo rasmi kuwa hata ZKabwe amekoswakoswa kutekwa, akasepa!
Ndio mambo yao hayo!

------Original Message------
From: ezekiel kunyaranyara
Sender: wanabidii@googlegroups.com
To: wanabidii@googlegroups com
To: emuganda@gmail.com
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda
Sent: Mar 18, 2013 13:36

Muganda,
Tuko pamoja.
Sent from Yahoo! Mail on Android
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>; To: <wanabidii@googlegroups.com>; Subject: Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda Sent: Mon, Mar 18, 2013 10:31:27 AM Ezekiel, Nakungwa, bayebhu! em 2013/3/18 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> Muganda,   Katika hili, kama ni hisia basi CDM ni wa kwanza kuendeshwa nazo na wala si upande wa pili. Washauri wajione kama binadamu yeyote kwamba anaweza kufanya makosa kama wengine siyo kujiona kuwa wao ni malaika na wala hawasemwi na hawaguswi. Hawataki kuelekezwa wala kushauriwa, wamesoma sana kuliko wote wasio wa CDM.   Yaani kama wewe si mwana CDM basi hata elimu yako bure, mtizamo wako bure, fikra zako zimepitwa nawakati, huna jipya...... orodha ni ndefu, jambo ambalo si kweli kabisa jamani. Sisi wote ni watanzania hawa hawa wala hakuna Mtanzania sana na mtanzania kidogo.   Hapo ndipo walipofikia kama wangekubali kusemwa na kushauriwa na watu wasio wataka basi wangeweza hata kujirekebisha na huwenda hata haya tusingeyaona kabisa. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na dunia.   Muganda, kuna methali ya kijita inasema kwamba " Imbwa inyifi niyo eigura omugongo gwayo..."   K.E.M.S. From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> To: wanabidii@googlegroups.com Sent: Sunday, 17 March 2013, 11:08 Subject: Re: [wanabidii] Joseph Ludovick Akamatwa kwa Tuhuma za Kumteka na Kumtesa Absalom Kibanda Laurean, Wengine wanaendeshwa zaidi kwa hisia badala ya hali halisi. Tumeshahukumu wapinzani kuwa wanatishia amani yetu, wakati amani hii imepokwa na mafisadi na majambazi ndani ya CCM. Hilo hatuoni. em On Sun, Mar 17, 2013 at 1:58 PM, Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com> wrote: Duh, Yaani Ezekiel unamhukumu Mtu hata hujui mashitaka yake Ni nini? Ikiwa sio kweli Na wewe umeisha muita majina humu? Maana lazima yawe proven beyond reasonable doubt! There is a reason for this old settled principle. Hata angekuwa ametenda; there is a presumption of innocence for everyone under an
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment