Friday 15 March 2013

Re: [wanabidii] Jeshi la Polisi lazuia maandamano ya maji Ubungo

Mmmh waziri kapata ahueni na wasivyozea kuwajibika sitashangaa hata
kesho au mwakani hakuna suluhisho juu ya tatizo hili

On 3/14/13, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
> Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kanda ya Kinondoni limekataza
> maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika tarehe 16 Machi 2013 yaliyokuwa
> yameiratibiwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika yaliyolenga kufika katika
> Wizara ya Maji ili kufikisha ujumbe kwa Waziri wa Maji, Prof Maghembe
> kuhusu kero ya maji katika jimbo hilo ambayo haijatatuliwa wala kupatiwa
> ufumbuzi kwa muda mrefu. Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo ACP, Charles
> Kenyela amesema endapo maandamano hayo yatafanyika:
>
> 1. Upo wasiwasi wa kutokea kwa vurugu pale watakaposhindwa kufikia
> muafaka kuhusu hoja zao.
> 2. Amewasiliana na Ofisi ya Waziri husika na kufahamishwa kuwa haina
> taarifa rasmi za ujio wa maandamano hayo.
> 3. Barabara yatakakopita maandamano hayo ipo katika ujenzi na hivyo
> maandamano hayo yatazuia shughuli za mkandarasi kukamilisha kazi yake
> kwa
> wakati na kuisababishia Serikali hasara.
> 4. Eeo ambamo maandamano hayo yanakusudiwa kutamatia ni dogo na hivyo
> itasababisha usumbufu mkubwa.
>
>
>
> Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2NXr1kGr1
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment