Sunday 24 March 2013

Re: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA

Kama ndipo tulipofikia, ni ishara ya anguko maana tawala za kidikteta kamwe hazidumu, maana wenye nchi siyo tuliowaweka kwa kura kututawala. Wenye nchi ni wananchi,  na walioumia kwa watoto wao kufeli ni wananchi. Kwa nini wazuiwe  wananchi kuandamana kutoa ishara kwamba kitu walichokifanya watawala wao ni chukuzo? Yuko mtoto wa ndugu yangu alikuwa anaongoza darasani, na alikuwa miongoni mwa wanafunzi nyota katika wilaya. Matokeo yalipotoka kapata Daraja la Nne pointi 27. Kachanganyikiwa, kapotea nyumbani siku kadhaa  bahati kaenda kupatikana kabla hajajimaliza.  Sasa ni wapi wananchi watasemea haya  watawala wasikie na watambue madhara waliyoyasababisha kwa wanafunzi, wazazi na ndugu zao kama siyo kwenye mabango ya maandamano?Mimi nasisitiza, ninayo haki ya kuandamana, wewe unayo haki ya kuandamana na sisi sote tunayo haki ya kuandamana, kuwaeleza watawala wetu kwamba, kwenye elimu hawako makini. Tukiogopa vitisho vyao wataendelea kuchuchezea hivi hivi mwaka hadi mwaka, wakidhani nchi ni yao peke yao kumbe ni nchi yetu sote, wao tumewapa dhamana ya muda tu KUTUONGOZA na wala siyo kututawala. Wao ndio wanapaswa  waogope na kuona aibu,  na siyo kutugeuzia kibao sisi wananchi na kututisha tusiwaambie walipotibua!
 

From: Mark Okello <abneroumaokello@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, March 24, 2013 2:17 PM
Subject: Re: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
Dada Ananilea mbona jibu liko wazi?

Nionavyo mimi ni kwamba, pale ambapo serikali ilioko madarakani haizingatii misingi ya demokrasia badala yake kujiwekea mikakati ya kuinyamazisha na kurubuni umma tayari ni udikteta. 

Kimsingi hata amani hatuna naona tuna uvumilivu tu na bahati mbaya sana uvumilivu ukifika kikomo hali inabadilika ghafla!

Sent from my iPad
On 24 Mac 2013, at 16:30, ananilea nkya <ananilea_nkya@yahoo.com> wrote:
Kuandamana ni haki yangu, ni haki yako na ni haki yetu sote kikatiba. Ndiyo njia halali na ya kistaarabu wananchi kutoa sauti yao kidemokrasia, Au nchi yetu imebadikika kuwa ya kidikteta?
 

From: Jesse Kwayu <jesse.kwayu@guardian.co.tz>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 24, 2013 10:40 AM
Subject: RE: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
Kwani anayeruhusu maandamano ni nani. Sheria inasema nini? Mbona Idara ya Habari Maelezo hata kama ni mdomo wa serikali hawana mamlaka hayo kisheria kukataa maandamano kufanyika. Utawala wa sheria hausemi hivyo. Hawa wote wamechanganyikiwa. Jana kwa waliotazama TBC1 usiku walishuhudia jinsi Makamanda wa Polisi wa Mikoa (RPC) walivyojipanga kukataza maadamano. Sasa nchi hii inaendeshwa kwa whim za watu Fulani Fulani na siyo kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizokubalika. Lakini jambo moja linabaki kuwa wazi, Hasira ya Umma unazidi kujikusanya, ole wa siku ile itakapomwagwa mtaani!
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Josephat Isango
Sent: Saturday, March 23, 2013 7:27 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
 
Kazi yangu ni kuleta Ujumbe kwa jamii, soma mwenyewe attachment ujumbe utapata humo humo. Chadema wametangaza maandamano Mwanza, Mbeya, Arusha, Dar es Salaam. Idara yetu ya habari imejibu yasifanyike Mbeya na Arusha tu............ nisimalize utamu.
--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 
-- Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/ International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    
-- Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/ International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

0 comments:

Post a Comment