Sunday 24 March 2013

RE: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA

Hivi maandamano yakiachiwa yafanyike kuna tatizo gani?
Mbona Marekani huwa wanawaachia jamaa wanakwenda hadi nje Ikulu wanajazana, wakichoka wanaondoka na tatizo lao linabakia pale pale.
Si wawaruhusu tu, halafu serikali iendelee kubakia na waziri wake mpendwa?
Waandamanaji wako Mbeya, Mwanza, Arusha, n.k. kazi zenyewe za kufanya hamna, peleka polisi walinde, watu waandamane, kesho Jumatatu kila mtu atakuwa mtaani anaisaka shilingi.
Kelele za nini? Kuumizana kwa nini?
Si haki yao Watanzania hawa?
Nadhani kuna ukosefu wa busara za kawaida kabisa, siyo hata za ziada, za kawaida kabisa.
 
From: jesse.kwayu@guardian.co.tz
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: RE: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
Date: Sun, 24 Mar 2013 13:40:51 +0300

Kwani anayeruhusu maandamano ni nani. Sheria inasema nini? Mbona Idara ya Habari Maelezo hata kama ni mdomo wa serikali hawana mamlaka hayo kisheria kukataa maandamano kufanyika. Utawala wa sheria hausemi hivyo. Hawa wote wamechanganyikiwa. Jana kwa waliotazama TBC1 usiku walishuhudia jinsi Makamanda wa Polisi wa Mikoa (RPC) walivyojipanga kukataza maadamano. Sasa nchi hii inaendeshwa kwa whim za watu Fulani Fulani na siyo kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizokubalika. Lakini jambo moja linabaki kuwa wazi, Hasira ya Umma unazidi kujikusanya, ole wa siku ile itakapomwagwa mtaani!

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Josephat Isango
Sent: Saturday, March 23, 2013 7:27 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA

Kazi yangu ni kuleta Ujumbe kwa jamii, soma mwenyewe attachment ujumbe utapata humo humo. Chadema wametangaza maandamano Mwanza, Mbeya, Arusha, Dar es Salaam. Idara yetu ya habari imejibu yasifanyike Mbeya na Arusha tu............ nisimalize utamu.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment