Sunday 24 March 2013

Re: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA

Mwanakatwe

Mkuu, utaratibu wa kawaida, kwa utaratibu upi?!?! Ndilo swali la msingi! Hivi kila mtumishi wa serikali au idara fulani, akijiwekea utaratibu wake...

Tumaini Makene
CHADEMA Senior Information(Press) Officer
0752 691569/ 0688 595831

Sent from my iPad

On Mar 24, 2013, at 6:58 PM, Thobiass Mwanakatwe <mwanakatwe2005@yahoo.com> wrote:

Nadhani ni utaratibu wa kawaida tu kwa idara ya habari maelezo kutoa tamko sababu huo ndio mdomo wa serikali. Hata hivyo kwa kuwa jambo hili halijazoweleka hapa kwetu Tanzania ndiyo maana walio wengi wataliona kama ni tatizo. Kwa utaratibu huu namuomba Mkurugenziu wa Idara ya Habari Maelezo kila jambo la serikali awe analitolea matamko na siyo kuishia kwenye jambo la maandamano tu.

MWANAKATWE

--- On Sun, 3/24/13, Jesse Kwayu <jesse.kwayu@guardian.co.tz> wrote:

From: Jesse Kwayu <jesse.kwayu@guardian.co.tz>
Subject: RE: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sunday, March 24, 2013, 3:40 AM

Kwani anayeruhusu maandamano ni nani. Sheria inasema nini? Mbona Idara ya Habari Maelezo hata kama ni mdomo wa serikali hawana mamlaka hayo kisheria kukataa maandamano kufanyika. Utawala wa sheria hausemi hivyo. Hawa wote wamechanganyikiwa. Jana kwa waliotazama TBC1 usiku walishuhudia jinsi Makamanda wa Polisi wa Mikoa (RPC) walivyojipanga kukataza maadamano. Sasa nchi hii inaendeshwa kwa whim za watu Fulani Fulani na siyo kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizokubalika. Lakini jambo moja linabaki kuwa wazi, Hasira ya Umma unazidi kujikusanya, ole wa siku ile itakapomwagwa mtaani!

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Josephat Isango
Sent: Saturday, March 23, 2013 7:27 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA

Kazi yangu ni kuleta Ujumbe kwa jamii, soma mwenyewe attachment ujumbe utapata humo humo. Chadema wametangaza maandamano Mwanza, Mbeya, Arusha, Dar es Salaam. Idara yetu ya habari imejibu yasifanyike Mbeya na Arusha tu............ nisimalize utamu.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment