Sunday 24 March 2013

Re: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA

Kuandamana ni haki yangu, ni haki yako na ni haki yetu sote kikatiba. Ndiyo njia halali na ya kistaarabu wananchi kutoa sauti yao kidemokrasia, Au nchi yetu imebadikika kuwa ya kidikteta?
 

From: Jesse Kwayu <jesse.kwayu@guardian.co.tz>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, March 24, 2013 10:40 AM
Subject: RE: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
Kwani anayeruhusu maandamano ni nani. Sheria inasema nini? Mbona Idara ya Habari Maelezo hata kama ni mdomo wa serikali hawana mamlaka hayo kisheria kukataa maandamano kufanyika. Utawala wa sheria hausemi hivyo. Hawa wote wamechanganyikiwa. Jana kwa waliotazama TBC1 usiku walishuhudia jinsi Makamanda wa Polisi wa Mikoa (RPC) walivyojipanga kukataza maadamano. Sasa nchi hii inaendeshwa kwa whim za watu Fulani Fulani na siyo kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizokubalika. Lakini jambo moja linabaki kuwa wazi, Hasira ya Umma unazidi kujikusanya, ole wa siku ile itakapomwagwa mtaani!
From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Josephat Isango
Sent: Saturday, March 23, 2013 7:27 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA
 
Kazi yangu ni kuleta Ujumbe kwa jamii, soma mwenyewe attachment ujumbe utapata humo humo. Chadema wametangaza maandamano Mwanza, Mbeya, Arusha, Dar es Salaam. Idara yetu ya habari imejibu yasifanyike Mbeya na Arusha tu............ nisimalize utamu.
--
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 
-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

0 comments:

Post a Comment