Sunday 24 March 2013

Re: [wanabidii] IDARA YA HABARI MAELEZO YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA

Mbona mikoa yote Tanzania na hasa mijini wachagga ni wengi tu na
wamewekeza mali. Hata huko Arusha wapo kibao, Dar es salaam usiseme,
Dodoma, Mwanza nk wapo. Ukihitisha maandamano huko Kama madhumuni
yalikuwa hayo basi wenye akili kama hiyo wamekwishafeli. Inawezekana
Chadema ilianza kwa mtizamo wa namna hiyo lakini kwa sasa ina mtizamo
na mwelekeo wa kitaifa kuliko namna nyingine.

Tuiangalie katika ngazi ya kitaifa zaidi kuliko mkoa. Mpira wa miguu
ulianzia England lakini leo hii Brazil na kwingineko ni vinara wa
mpira wa miguu kuliko England vivyo hivyo inawezekana CDM ilianzia
Moshi lakini mikoa mingine iliyotoka nyuma imeshika kasi na kuipiku
Moshi kimtazamo na kimalengo.

Je unataka kutwambia Kigoma yenye wabunge wengi wa upinzani ndiko
vyama vyao vilikoanzia? Na je NCCR ya 1995 ni sawa na hii ya leo.
Vivyo hivyo hata CCM iliyokuwa na sura kama Nyerere na Karume siyo hii
ya leo yenye sura kama akina Nape. Vitu hubadilika na watu pia
hubadilika No permanent situation under the sun. Watu kama wana hasira
zao na serikali wacha wazitoe hadharani kwa njia ya maandamano hatuna
sababu ya kuhoji sana kwa nini maandamano yapo mkoa fulani wakati mkoa
fulani hayapo. Huko yaliko bila shaka wameguswa zaidi.

On Sun, Mar 24, 2013 at 12:10 PM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> Nilitegemea pia kwamba katika mipango hii Chadema kuitisha maandamano
> mjini Moshi. Kwa nini nimesema hivi? Jibu ni rahisi tu, kuondoa ile
> kasumba kwamba maandamano haitishwi mjini Moshi kwa sababu viongozi
> wakuu wa Chadema hawako tayari kuona mambo yaliyotokea huko mikoani
> yakitokea mji wa nyumbani. Nimewaza tu kwa kina lakini majibu sina
>
> On 23/03/2013, Saleh Abdulla <saleh100888@gmail.com> wrote:
>> Asante, huenda hiyo wizara nayo ikatumia hiyo mahakama kuzuia.
>> On Mar 24, 2013 9:26 AM, "Ephata Nanyaro" <nanyaro04@gmail.com> wrote:
>>
>>> Mahakama ndio wenye mamlaka ya kuzuia maandamano
>>>
>>> On Sun, Mar 24, 2013 at 9:21 AM, Saleh Abdulla
>>> <saleh100888@gmail.com>wrote:
>>>
>>>> Kwani sheria ya kuzuia maandamano ya kisiasa ni vyombo gani
>>>> vonavyohusika?
>>>>
>>>> On Mar 24, 2013 9:14 AM, "vitalisy kisandu" <vkisandu@yahoo.com> wrote:
>>>> >
>>>> >
>>>> > kumbe hata Idara ya Habari Maelezo nayo ina Mamlaka Kisheria kuzuia
>>>> Maandamano ya Vyama Vya Siasa,nilikuwa Mgeni kwa hili
>>>> >
>>>> >
>>>> >
>>>> >
>>>> > ------------------------------
>>>> > On Sat, Mar 23, 2013 2:53 PM PDT Emmanuel Sulle wrote:
>>>> >
>>>> > >Kwahiyo kwingineko ni ruksa siyo!
>>>> > >
>>>> > >On Sat, Mar 23, 2013 at 6:26 PM, Josephat Isango
>>>> > > <joseisango@yahoo.com
>>>> >wrote:
>>>> > >
>>>> > >> Kazi yangu ni kuleta Ujumbe kwa jamii, soma mwenyewe attachment
>>>> ujumbe
>>>> > >> utapata humo humo. Chadema wametangaza maandamano Mwanza, Mbeya,
>>>> Arusha,
>>>> > >> Dar es Salaam. Idara yetu ya habari imejibu yasifanyike Mbeya na
>>>> Arusha
>>>> > >> tu............ nisimalize utamu.
>>>> > >>
>>>> > >> --
>>>> > >> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>> > >> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>> > >>
>>>> > >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> > >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>>> > >> kudhibitisha
>>>> > >> ukishatuma
>>>> > >>
>>>> > >> Disclaimer:
>>>> > >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>>>> > >> any
>>>> legal
>>>> > >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>>> must be
>>>> > >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>>> agree
>>>> > >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>> > >> ---
>>>> > >> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> > >> "Wanabidii" group.
>>>> > >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>> send an
>>>> > >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> > >> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>> > >>
>>>> > >>
>>>> > >>
>>>> > >
>>>> > >--
>>>> > >Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>> > >International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>> > >
>>>> > >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> > >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>> > >
>>>> > >Disclaimer:
>>>> > >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> > >---
>>>> > >You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> > >To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>>>> > > send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> > >For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>> > >
>>>> > >
>>>> >
>>>> > --
>>>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>> >
>>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>> >
>>>> > Disclaimer:
>>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> > ---
>>>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> > For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>> >
>>>> >
>>>>
>>>> --
>>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups
>>>> "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an
>>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>>>
>>>>
>>>
>>>
>>>
>>> --
>>> Ephata Nanyaro
>>> P.o.box 15359
>>> Arusha
>>> +255 754 834152
>>> Skype.nanyaro.ephata
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment