Monday 18 March 2013

Re: [wanabidii] HIKI KIMEKAAJE?

Mmh! kazi mnayo!! naukumbuka ule wimbo wa simba wanyika, shilingi yaua tena ni maua,

2013/3/18 Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
Issue sio imeanzia kwa nani, issue maneno ya Michuzi mwenyewe aliyoyasema "Kudos to TISS kwa kufanya kazi ya ziada kupata hii kitu"

Hata hivyo Salva ameniondolea wasiwasi wangu kuwa MM sio mwanausalama halafu hiyo email sio ya kwake
______________________________________________
Real Change for Real Development,  

Lemburis Kivuyo
+255654650100/078 7665050/0755646470
Website: www.kivuyo.com,  
Linkedin: http://tz.linkedin.com/in/lembukivuyo

2013/3/18 halihalisi gazeti <halihalisi06@yahoo.com>

HII ya IKULU imekaaje?
Siku moja baada ya gazeti hili 
 (Tanzania Daima) 
kuripoti madai ya kunaswa mawasiliano ya siri ya ofisa mmoja wa Ikulu (Muhidini Issa Michuzi), akiwapongeza vijana (Idara ya Usalama wa Taifa) kwa kazi nzuri ya kuandaa video ya Lwakatare na kwamba hiyo ni kete kubwa kwa CCM, ofisi hiyo imeibuka na kukanusha taarifa hizo.

Ikulu imesema kuwa ofisi ya Rais Jakaya Kikwete isibebeshwe msalaba wa watu wengine kwani haiwezi kuhusika kwa namna yoyote kuteka, kuua au kuwashambulia raia wake.

"Ikulu haiwezi kuhusika na mambo ya kijinga kama haya. Inachokifanya ni kuhakikisha inawasaka wahusika ili wafikishwe kwenye vyombo vya sheria na ndiyo maana hata Rais Kikwete alimtembelea Kibanda kule Afrika Kusini alikolazwa," alisema Salva.

Alisema anamfahamu Kibanda, ameumizwa na jinsi alivyovamiwa na kupigwa na kusababishiwa maumivu na majeraha ya kudumu.

"Kibanda ni mdogo wangu, mimi ndiye niliyempokea na kumfundisha kazi, siwezi kufurahia alichofanyiwa," alisema.

Kuhusu mawasiliano ya ofisa wa Ikulu, Salva alimtaja afisa huyo kuwa ni Muhidin Michuzi ambaye ni mmoja wa wapiga picha wa rais.

Akifafanua kuhusu mawasiliano hayo ya Michuzi, Salva alisema haikuanzia kwake kwani naye alitumiwa na mtu mwingine.

"Yale mawasiliano hayakuanzia kwa Michuzi. Yeye alitumiwa tu, alichokifanya ni ku-'share' ile taarifa na watumishi wengine wa Ikulu. Hapa kosa lake nini?" alihoji Salva.

Hata hivyo, Salva alitahadharisha kwamba ni kosa kisheria kwa mtu yoyote kuingilia mawasiliano ya mtu na kuyaweka hadharani.

Alivitaka vyombo vya habari kuviachia vyombo vya dola kuchunguza tukio la kushambuliwa kwa Kibanda badala ya kuandika habari za mitaani.

From:

To:
Re: MKUU HII KITU YA HUYU JAMAA IMEKAAJE??? Wednesday, March 13, 2013 1:15 PM
"MUHIDIN MICHUZI" <issamichuzi@gmail.com>
"Salvator Rweyemamu" <rweyemamu.salvator@gmail.com>, "Prosper Mbena"
"Liberata Mulamula" <liberatamul@gmail.com>, "matupa matupa"
<sbmatupa04@yahoo.co.uk>, "msafiri marwa" <marwajr@gmail.com>, "Laurent
"Hajrah Kitogo" <mishikt@hotmail.co.uk>, "Kimario" <kimario1956@yahoo.com>,
"karolina, mthapula" <mthapulac@yahoo.com>, "wilbald lorri"
<wlorrister@gmail.com>, "Aziza Bukuku" <abukuku@yahoo.com>, "shaban Gurumo"
<gurumo1956@yahoo.com>, "kisare makori" <kisarem@yahoo.com>, "Rajabu
Luhwavi" <luhwavi@yahoo.com>, "Yunge Massa" <yungelmassa@yahoo.co.uk>

Ndugu wana OBR. Jioneeni njama za CHADEMA kudhuru wanahabari. FYA HII LINK uone youtube yote.
Huyu na wengine wote si wa kuwaachia. Kudos to TISS kwa kufanya kazi ya ziada kupata hii kitu. Hii ni
kete kubwa kwetu, lazima tupige kelele kwa nguvu zote
MM
--
Name: Othman Michuzi Jr
--
MUHIDIN MICHUZI
Re: MKUU HII KITU YA HUYU JAMAA IMEKAAJE... http://us.mc1406.mail.yahoo.com/mc/showMessa...
1 of 2 03/15/2013 12:22 AM
--
MUHIDIN MICHUZI
Re: MKUU HII KITU YA HUYU JAMAA IMEKAAJE... http://us.mc1406.mail.yahoo.com/mc/showMessa...
2 of 2 03/15/2013 12:22 AM

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment