Thursday 14 March 2013

Re: [wanabidii] FOLENI KWENYE MABENKI HADI LINI?

Isack,

Siku moja basi nikaingia benki mjini Kisumu. Foleni ndiyo hiyo !!!!  Nimesubiri zaidi ya nusu saa na bado wako watu watano mbele yangu. Mara akaingia benki mtalii mzungu. Wenye kuhudumu walipomuona wakamuita mbele kumhudumia mbele yetu sote tuliokwisha subiri kwa muda wote huo. Alipoitwa mbele huyo mzungu nami nikaenda pale dirishani. I demanded that I be served first before that mzungu because he found me there. Wote ndani ya benki wakanipigia makofi na wakadai kwamba yule mzungu lazima arudi nyuma ya foleni.

Mzungu akaondoka lakini baada ya dakika kadhaa tukamuona anaondoka from inside of the bank. Kumbe they smneaked him in from some back door.

Watu wetu wa Kenya !!!!!   They value wazungus more than their own people. Hawaelewi kwamba hao wazungu nchini mwao they discriminate against us too.

Courage

2013/3/14 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
Ndg wana bidii wenzangu kumekuwa na suala la utotezaji mwingi sana katika maisha ya kila siku ya matanzania hususani katika jiji la Dar, ukiamuka asubuhi unapoteza masaa mengi saa mawili mpaka matatu barabarani kweye foleni ya magari tunaweza sema hili liko juu yetu kutokana na hali ya barabara zetu na mfumo mzima wa ujenzi wa jiji letu.
  Lakini kuna hili la pili, kumekuwepo na upotezaji wa muda mwingi sana kwenye folni za mabenki bila sababu za msingi, utashangaa unaingia benk  unakutana na mjazano wa watu ambo unakuchukua muda mwingi mpaka kuja kupata huduma unayoitaka benki lakii ukifuatilia kwa makini unagundua kuwa hakukuwa na sababu ya mtu kupoteza muda mwingi hapo benki kama watu wangekuwa wanawajibika ipasavyo.
   Utakuta benki ina madilisha yaani teller window 8 lakini dirisha zinazowahudumia watu ni mbili, so 6 hazina wahudumu hazifanyi kazi kwa hiyo unakuta watu wamejazana benk lakini wanahudumiwa na watu wawili hali ambayo inamfanya mteja kukaa masaa mengi bila sababu yoyote kiasi kwamba kama madilisha yote yangefanya kazi bank ingemhudumia mtu kwa muda mchache na shughuli zingine zikaendelea, jamani tatizo ni nini/ naomba tujadili.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment