Tuesday 19 March 2013

Re: [wanabidii] Dr. Slaa humjui Ludovick Joseph?

Walewale,
 
 Ni kweli hilo nalijua, ila atakuwa msikitini au TFF au hata kwenye bar anauza bia lakini atakuwa anaitumikia TISS,  anapeleka information za kazi TISS, sasa hili la LUDO, limekaa kinyume yaani aitumikie TISS wakati huohuo afanye kazi kupeleka taarifa CDM!  atafanyakazi CDM na kupeleka taarifa TISS mimi ndivyo ninavyojua

2013/3/20 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Isack Mchungu,
Mtu anaweza kuwa mwajiriwa wa TISS na akawa kituo chake cha kazi ni msikitini,TFF kama kiongozi,mwandishi wa habari na kadhalika na kadhalika.

Walewale.

From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, March 20, 2013 8:04 AM
Subject: Re: [wanabidii] Dr. Slaa humjui Ludovick Joseph?

Hata mimi nashangaa baada tu ya huyo jamaa kukamatwa tuliambiwa humuhumu kuwa anatumikia TISS sasa inakuwaje tena sasa hivi mnageuka kudai anaitumikia CD? which is which?

2013/3/19 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Kwendeni zenu na upuuzi mara Ludovic usalama wa taifa mara anafanya intelijensia ya CHADEMA tujue lipi tuchukue lipi. Mambo ya vijiweni kaeni nayo huko huko, kwa sasa Ludovic yuko kwenye vyombo vya usalama serikali itatujuza huyu mtu ni nani

2013/3/19 Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com>
Nimeinasa híi
"Dr.slaa amkana ludovick,Amesahau alivyomuajili ndani ya chama kitengo
cha intelejensia.

Dr.slaa ludovick ulimtumia kupeleleza taarifa za vijana walionekana
tishio kwenye uchaguzi wa BAVICHA mwaka 2011.Alifanikiwa kuwaondoa
Mwampamba na mchange.

Ulimtuwa Uzini Zanzibar kwenye uchaguzi mdogo akawe afisa mawasiliano.

Ulimtuma Mbozi akahakikishe baba mzazi wa Mtela Mwampamba anaondolewa
CHADEMA.

Ulimuunganisha na Ben Saanane waandae mashitaka na ukwepaji wa sheria
za chama ili vijana Juliana,Mchange na Mwampamba waondolewe haraka
CHADEMA bila kufuata kanuni za chama.

Dr. Slaa humjui Ludovick Joseph? Huyo Ludovick atakuumbua kwa mambo
yote uliyokuwa unamtuma.

By kimeta wa mpui

Chanzo : http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/420040-chadema-maji-shingoni-hakuna-marefu-yasiyo-na-ncha.html#post5950168

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment