Sunday 24 March 2013

Re: [wanabidii] BURIANI DR. PHILIP NELSON (suicide)

Inasikitisha saaaana!! Ni vigumu kuamini.Mzungu, Msomi mwenye uwezo wa kuchambua mema na mabaya kwa upana, na mtu mwenye umri mkubwa hivyo (miaka 75) kujikatili maisha! Du!  Mzee mmoja aliwahi kuniambia kuwa kadri umri unavyokuwa mkubwa maisha ndo yanazidi kuwa matamu na uoga wa kufa unakuwa mkubwa sana. Hiii ni tofauti na kitendo alichofanya mzee huyu. Hapa ndo maana napata shida kuelewa mzee kama huyu aliyeisifu inchi yetu kuwa ni nzuri na yeneye utajiri mwingi halafu kujiua. Kunani? Au hii nukuu "Don't be exited already because all these will depend on how your politicians will handle it" inaweza kuwa inadokezo katika nyuma ya paziala tukio hili? Kuna mkono wa wanasiasa hapa? R.I.P Dr. Nelson
Vin

On Mon, Mar 25, 2013 at 7:54 AM, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
Ingekuwa siasa tena kati ya CCM na CDM, muda mrefu ingekuwa imesomeka na comments kibao. Taifa la vilaza hili....
 
K.E.M.S.
From: Boniface Magessa <magessabm@gmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Sunday, 24 March 2013, 12:09
Subject: Re: [wanabidii] BURIANI DR. PHILIP NELSON (suicide)

Sisi watanzania ni wavivu wa kusoma vitu vya msingi.kama ingekuwa udaku mbona tungeshamaliza kusoma makala hii muda mrefu ha ha ha

On Sunday, March 24, 2013, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> wrote:
> Jamani someni tafadhali.
>
>
>
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
> ----- Reply message -----
> From: "richard bahati" <ribahati@gmail.com>
> To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] BURIANI DR. PHILIP NELSON (suicide)
> Date: Sun, Mar 24, 2013 2:37 pm
>
>
> BURIANI DR. PHILIP NELSON
>
> Ni siku ya Ijumaa tarehe 22 March nilipokutana na Dr. Philip Nelson aliponitembelea ofisini kwangu Mwenge akiwa amechangamka kama kawaida yake. Mara kwa mara alipokuwa ananitembelea hasa siku za hivi karibuni alikuwa akinipa moyo kuwa Tanzania ni nchi Tajiri sana na kwa kipindi cha miaka 10 tu ijayo Tanzania itakuwa ni nchi tajiri kuliko zote duniani. Alikuwa akimaanisha hayo kutokana na kuwa mstari wambele katika kufanya tafiti mbalimbali za ugunduzi wa mafuta na gesi. Alinionyesha reserves kubwa mno ya mafuta na gesi katika pwani ya Tanzania. Akanionyesha picha za satelite zenye kuonyesha uwepo wa gesi nyingi ukanda wa Morogoro hasa Kilombero na kwingineko kwingi Tanzania na Uganda. Nilianza kupata matumaini ya kuwa muda si mrefu Tanzania tutaanza kuneemeka,na nilikuwa na kila sababu ya kuamini hivyo kwani kila alichonioambia kilikuwa na sapoti ya picha za kitaaalam na satelite. Hata hivyo nilivyoonyesha furaha yangu kwa hili alinikumbusha tatizo la Africa"Don't be exited already because all these will depend on how your politicians will handle it"
>
> Soma zaidi makala yake hapa:
>
> http://goldentz.blogspot.com/2013/03/buriani-dr-philip-nelson.html
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--

0 comments:

Post a Comment