Tuesday 19 March 2013

Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic

Jitahidi ukiwa unapita barabarani kuwa mwangalifu maana wanaovertake magari, kuzunguka magari, kupita njia za mikuu na kati ya wafanya biashara barabarani. wakikugonga-wewe ndio mkosa; wakigongwa wao-wanahamasika kuja kumuadhibu aliyemgonga mwenzao kufikia kuchoma gari moto, kuvunja vioo n.k. Mob psychology badala ya kutumia sheria. Hakuna maendeleo bila kila mmmoja wetu kuwajibika na sheria.

Hao wanaowatetea ni njaa tu.Na ndio unaona kwa kulinda KURA ili ULE sheria nyingi nchini hazizingatiwi. Kwani Diwani wao hawaoni hao bodaboda akawaita akaongea nao. Kugoma daladala, bodaboda, bajaji kuwa wanaonewa lakini wafanyacho hawaoni. Nandio hivyo kuvamia misitu kuhamia kukata mikaa-wanawaona na kuwaahidi kuwa wakimchagua msitu utakuwa wao. Na ndio hao wakulima na wafugaji kuichakachua-wanawaona ila mkinichagua mtakwenda hata Lindi, Saadani game Reserve na Udzungwa kama Ihefu watawaondoa. Unakuta mali asili zipo, uwezekano wa watu kujiendeleza upo wakizingatia sheria na miongozo ya biashara ndogondogo, usafiri wa bodaboda, daladala, kilimo na ufugaji mifugo na nyuki endelevu. Hata daladala unakuta hazisimami kituoni bali kati ya njia na nyumba ya kituo eti anamzuia mwenzake ajae. Hii huleta msongamano. Akisimama kituoni kichwa cha bus kinaingia barabarani kujifanya kama ataondoka sasa hivi hivyo kuzuia upitaji mzuri wa magari. Anafahamu ubaya wake lakini haambiliki hata. Dawa ni kurudisha usafiri wa UDA mijini ufanyekazi kiufanisi hawa wa sasa wahamie vijijini.

Mtu kipofu anaona wenzake walivyokatwa miguu, mikono katika ajali lakini unamuona helmet kaining'iniza mgongoni, anaendesha amevaa dala ambayo inaweza kukwama wakati wowote ktk pedeli, ameweka music sauti kubwa atasikiaje honi ya kitu cha dharura halafu unaona mama kapanda na mtoto hakumbeba na mbeleko kamuweka kati kampakata tu. Breki za ghafla mtoto mchanga au mdogo atatupwa kama mjuzi na kufa au kupata kilema. Utanashati wa mdada mapochi, hatembei na khanga au mfuko wa kubebea. Mifano anaiona ya ajali lakini anaona yeye haitomfika-Kipofu hana jihadhari kabla ya hatari. Yupo katika fashion ya utanashati. Trafiki nao wanachoka na hata doctors wanawachoka na ndio maana tunasikia wameweka ward ya bodaboda na akiingia huko kakatika mguu au kapondwa kiasi-wanauondoa kabisa na watamuhudumia wakiwa wamemaliza kazi nyingine maana hawasikii na hawajifunzi kutoka mifano ya wenzao.

Ni sawa na dreva anaye overtake kilimani au bondeni. Wanaona aina za ajali zinazotokea lakini bado wanafanya hivyo na kutia watu umasikini. Ukimuambia dreva punguza mwendo mbona unaenda kinyume namna hivyo huzingatii usalama-unaambiwa shuka, chukua hela yako kapande gari nyingine. Abiria nao wanakuzomea badala ya kujali usalama wao-Tunataka kuwahi kufika bwana!! Kanyaga twende!! Ikianguka na kuwabanjua ndio utasikia au kuona kupitia TV-dreva akikimbia sana na kuovertake hovyo!! Pumba zetu ndio hizi.

Ni sawa na mzazi na mtoto wake mtukutu asiyesikia unamwambia-asiyesikia la mkuu-huvunjika guu. Kigego, hafundishiki, haeleziki unasema unachoka. Mara unasikia amekamatwa amepigana au ameiba. Unamuacha huko huko huendi mahakamani wala kumuwekea dhamana.Ale miaka yake jela labda atajifunza na hilo bangi lake. Huyo wa bodaboda haoni vilema wanavyopata tabu. Kula bangi ndio iwe sababu, visingizio foleni!
Ni Sawa  na hoja ya kusema madawa ya kulevya au unga unatoka TZ  huko ZNZ ni transit way tu. Foleni iwe kisingizio ndio ujunje sheria-why?

--- On Tue, 19/3/13, fatma_elia@yahoo.com <fatma_elia@yahoo.com> wrote:

From: fatma_elia@yahoo.com <fatma_elia@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 19 March, 2013, 13:10

Luc
Juzi hujamuona Rais mtarajiwa akiwafagilia waendesha bodaboda Arusha?

Hii ndio TZ original

Fatma
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: lucsyo@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 19 Mar 2013 12:52:46 +0000
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic

Dada Monica;
Nashukuru sana kwa kuleta mada hii; jamani hili wimbi la bodaboda limekuwa kero kubwa hasa kwa watumiaji wengine wa barabara. Mathalani, hawa madereva wa bodaboda hawana upande maalum wa kuendeshea hizo pikipiki zao, na hiyo inapelekea kuovertake upande wowote anaojisikia; kwa kweli inakuwa kero sana hasa kwa madereva wa magari na hata waenda kwa miguu; wengi wao hawana mafunzo ya jinsi ya kutumia hivyo vyombo achilia kuwa na leseni; nadhani panahitajika hatua za haraka na masuhususi kushughulikia hili suala, ni janga la taifa na lisiposhughulikiwa mapema lina hatari hapo baadaye

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 19 Mar 2013 07:48:02 -0500
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic

masahihisho nilitaka kusema mpuuzi wa dala dala na si bara bara

2013/3/19 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Boda boda ziondolewe mijini tu, sheria za bara bara zikufuatwa msongamano hautakuwepo, unakuwa na mwendesha bodaboda kesha kula bangi hana leseni yuko bara barani halafu kuna mpuuuzi wa bara bara nae wale wale lazima traffic iwe balaa

2013/3/19 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Kuna jambo huwa linanitatiza sana. Unakuta Trafic anaongoza magari  kwenye mataa
na mbele ya magari zipo pikipiki kibao ambazo zinachomoka moja baada ya nyingine mbele yake tena upande tofauti na ule anaoruhusu magari kupita wala hao Trafic hawastuki wala kuzuia wala kukemea naona wameshafanya mazoea. Je inamaana hao bodaboda hawatakiwi kufuata sheria za barabarani? na hao Matrafic watuambiie kwanini hawawachukulii hatua hao madereva wa pikipiki? au mpaka litokee janga kama la jana ndio Wakuu wa polisi wanasema hiyo ni changamoto. Please chukueni hatua mzaha mzaha hutumbua usaha.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment