Wednesday 20 March 2013

Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic

NDG yangu Mwesiga, issue hii tusiwatupie lawama polisi, tatizo ni migongano ya kimasilahi,kinachotuponza ni hali ya mfumo wa kufanya kila kitu tunaingiza siasa hata pale ambapo sheria zinatakiwa kufanya kazi tunatangulia siasa, mnaikumbuka issue ya kuondolewa mr mwaibula kwenye sekta ya usafirishaji yale ni mambo ya siasa, mwaibula alitusaidia sana katika sekta ya usafiri,lakini alikuwa mwiba kwa wakubwa wakamuondoa, juzi kati tu tulianzisha mpango wa kudhibita usafiri  wa nchi kavu vijana wa MAJEMBE  WAKAPEWA KAZI, walichofanya vijana wa majembe ni kusimama kwenye sheria za nchi tulizotungiwa na bunge,lakini aaaah! wapi mgongano wa masilahi vijana wa majembe wakapigwa stop, kimya hadi leo.
Kwa mfumo huu na kind of leadership we have ni ngumu, ndo maana trafik nao wanaona kisa nini,wanatafuta mboga ya watoto wao siku zinaenda.

2013/3/20 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Kuna mtakao kubaliana nami kuwa jeshi letu la usalama barabarani
linaitaji kufanyiwa marekebisho makubwa sana. Sheria zetu za usalama
wa barabara haziendani na maendeleo na ukuaji wa majiji yetu. BODABODA
ni takataka na hatari kwa watembea kwa miguu katika hali ya msongamano
tulio nao ziondolewe. Ukaguzi wa magari na leseni havifanywi kwa
umakini. MIPANGO miji iboreshwe kidogo hasa kwa kuangalia jinsi feeder
roads zinavyoingia barabara kubwa town planners should knw better.
Kitengo cha mipango miji lazima kiwe na ushirikiano mzuri wizara ya
ujenzi na usalama barabarani. Saizi kila mtu anafanya kivyake ili kula
hela. Askari wapewe nyenzo huwezi mkamata mvunja sheria wa barabarani
kwa miguu japo wakiwa na magari wanayafanya taxi nashangaa ludovic
kwanini hakulamba cab za maafande ni salama na cheap

On 3/19/13, Japhet Makongo <japhetmakongo@yahoo.com> wrote:
> Traffic wameamua kuhalalisha makosa ya usalama barabarani wakidhani ni mambo
> madogo madogo tu. Wameshindwa hata kuhimiza watumia baiskeli kuweka taa
> wanapoendesha usiku. Ni balaa kweli, kwani hata baadhi ya polisu huendesha
> bila taa. Viongozi wamezoea kufanya maamuzi ya kukurupuka janga likitokea.
>
> Makongo
>
> ----------------------------------------------------------------
> Japhet Maingu Makongo
> Director, Ubunifu Associates Ltd
> P.O. Box 32971, Dar es Salaam, TANZANIA
> Website: www.ubunifu.co.tz, info@ubunifu.co.tz,
> Tel: +255 22 2762027, Mobile:+255 754 571 256
>
>
> ________________________________
>  From: "fatma_elia@yahoo.com" <fatma_elia@yahoo.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Tuesday, March 19, 2013 4:10 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic
>
>
> Luc
> Juzi hujamuona Rais mtarajiwa akiwafagilia waendesha bodaboda Arusha?
>
> Hii ndio TZ original
>
> Fatma
> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
> ________________________________
>
> From:  lucsyo@gmail.com
> Sender:  wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tue, 19 Mar 2013 12:52:46 +0000
> To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic
> Dada Monica;
> Nashukuru sana kwa kuleta mada hii; jamani hili wimbi la bodaboda limekuwa
> kero kubwa hasa kwa watumiaji wengine wa barabara. Mathalani, hawa madereva
> wa bodaboda hawana upande maalum wa kuendeshea hizo pikipiki zao, na hiyo
> inapelekea kuovertake upande wowote anaojisikia; kwa kweli inakuwa kero sana
> hasa kwa madereva wa magari na hata waenda kwa miguu; wengi wao hawana
> mafunzo ya jinsi ya kutumia hivyo vyombo achilia kuwa na leseni; nadhani
> panahitajika hatua za haraka na masuhususi kushughulikia hili suala,  ni
> janga la taifa na lisiposhughulikiwa mapema lina hatari hapo baadaye
>
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
> ________________________________
>
> From:  Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
> Sender:  wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tue, 19 Mar 2013 07:48:02 -0500
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic
> masahihisho nilitaka kusema mpuuzi wa dala dala na si bara bara
>
>
> 2013/3/19 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
>
> Boda boda ziondolewe mijini tu, sheria za bara bara zikufuatwa msongamano
> hautakuwepo, unakuwa na mwendesha bodaboda kesha kula bangi hana leseni yuko
> bara barani halafu kuna mpuuuzi wa bara bara nae wale wale lazima traffic
> iwe balaa
>>
>>
>>
>>2013/3/19 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
>>
>>Kuna jambo huwa linanitatiza sana. Unakuta Trafic anaongoza magari  kwenye
>> mataa
>>>na mbele ya magari zipo pikipiki kibao ambazo zinachomoka moja baada ya
>>> nyingine mbele yake tena upande tofauti na ule anaoruhusu magari kupita
>>> wala hao Trafic hawastuki wala kuzuia wala kukemea naona wameshafanya
>>> mazoea. Je inamaana hao bodaboda hawatakiwi kufuata sheria za barabarani?
>>> na hao Matrafic watuambiie kwanini hawawachukulii hatua hao madereva wa
>>> pikipiki? au mpaka litokee janga kama la jana ndio Wakuu wa polisi
>>> wanasema hiyo ni changamoto. Please chukueni hatua mzaha mzaha hutumbua
>>> usaha.
>>>
> --
>>>Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
>>>International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
>>>
>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
>>> kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>>Disclaimer:
>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>---
>>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>>> email to mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com.
>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>>>
>>>
>>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment