Tuesday 19 March 2013

Re: [wanabidii] Bodaboda wanapovunja sheria mbele ya Trafic

Boda boda ziondolewe mijini tu, sheria za bara bara zikufuatwa msongamano hautakuwepo, unakuwa na mwendesha bodaboda kesha kula bangi hana leseni yuko bara barani halafu kuna mpuuuzi wa bara bara nae wale wale lazima traffic iwe balaa

2013/3/19 Monica Malle <moninaike@hotmail.com>
Kuna jambo huwa linanitatiza sana. Unakuta Trafic anaongoza magari  kwenye mataa
na mbele ya magari zipo pikipiki kibao ambazo zinachomoka moja baada ya nyingine mbele yake tena upande tofauti na ule anaoruhusu magari kupita wala hao Trafic hawastuki wala kuzuia wala kukemea naona wameshafanya mazoea. Je inamaana hao bodaboda hawatakiwi kufuata sheria za barabarani? na hao Matrafic watuambiie kwanini hawawachukulii hatua hao madereva wa pikipiki? au mpaka litokee janga kama la jana ndio Wakuu wa polisi wanasema hiyo ni changamoto. Please chukueni hatua mzaha mzaha hutumbua usaha.

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment