Tuesday 26 March 2013

Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

NDG yangu kunyaranyara,
 
 Ni vizuri ukajua kuwa mtu anaweza kuwa amesoma sana lakini akawa mzigo kwa wengine kwa hiyo suala la elimu liache kwa kila mtu na darasa lake ila kuna kitu kinaitwa elimu ya kuzaliwa hii ni ule uwezo wa kuchanganua mambo na maono yake bila hata kwenda shule, na unaweza kwenda shule saana but ukaishie kuwa kituko kwa wengine kama yule rafiki yangu niliyemkuta kalewa mpaka kalala bar na joho la chuo kikuu!!!
 
    Kama unasema ni vema kuheshimu mawazo na mitizamo ya wengine basi bi bora wewe ungeanza kuheshimu mtizamo wangu kwako kwa sababu mimi ndivyo nilivyokutafakari vinginevyo ungezama kunielimisha zaidi (maana umesema elimu yangu ni mdogo) kuliko kutukana, msomi aliestaarabika hatukani hutumia mifano mizuri kuelimisha wengine na wala si suala la kujua wew ni nani humu tunapeana mawazo na nini cha kufanya, thats all.
   
    

2013/3/25 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>


Bwana jacob nimependa mchango wako. Mi napenda watu wakweli kama wewe,umenifurahisha


------------------------------
On Mon, Mar 25, 2013 3:36 PM EET Jacob Ruvilo wrote:

>Jacob Ruvilo
>
>kama mwana Kigoma baada ya kusoma michango yenu nami nikubaliane kuwa
>Zittoni jembe na kasoro za Ukweli na uamnifu katika chama kama
>mnavyosema inaweza kuwa kweli kwakuwa hakuna binadam asiye na
>mapungufu ila mapungufu ya zitto nadhani mwenyewe akijirekebisha ni
>madogo na si yale asilia ambayo hayabadiliki so ni utashi wake na
>kweli ni jembe aidha kwa sasa au baadae anatufaa kutuongoza kikubwa ni
>uvumilivu kwa ikishindikana kwa sasa sio lazima awe mvumilivu na
>mwenye malengo atafanikiwa together we can Zitto oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
>
>On 3/25/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>> Isack,
>>
>> Inaonekana mtizamo wako kwangu umekufa kabisa, mawazo yako
>> kimsingi yameganda, maneno yako yanapofusha kama mtu asipojiangalia na kama
>> ataruhusu wewe uwaze kwa niaba yake. Funguka utajua mengi kuliko
>> ulivyojifunga sasa. (soma kisa kimoja katika kitabu cha darasa la saba
>> zamani - Kiingereza kinasema MAHUGU THE HUNTER kina sema   come out and be
>> eaten). Ungenijua mimi ni nani huenda ungepata nafasi ya kufunguka
>> kidogo.... Unawaza upuuzi tu muda wote hata michango yako ni  kama hujaenda
>> shule ndugu yangu...
>>
>> Watu kama wewe ni wauaji toka mwanzo...unmwaga sumu kama mtu hakujui
>> atadhani unasema kweli kumbe ..... Kuwa na mtizamo tofauti na wewe sio
>> uadui. Nchi hii ni yetu wote ebo...kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake
>> hata kama huyakubali kaa kimyaa. Kama unawasiwasi na kwamba mirija yako wewe
>> itakatwa shauri yako kaka....
>>
>> Mtizamo wangu kwa ZK ndio huo tena nikueleze na hata SILINDE wana mtizamo
>> mkubwa wa mambo. Timu waliyonayo tu kwa mtizamo wangu wanatofautiana sana
>> katika kufikiri na kuona mambo kabla na baada...
>>
>> K.E.M.S.
>>
>> From: isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Sent: Sunday, 24 March 2013, 23:50
>> Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>
>>
>> Elisa,
>>  umelitolea suala la zito vizuri sana, hata nyumbani katika watoto wa kiume
>> ikionekana unaendana tofauti na misimamo ya baba yako na ukawa karibu na
>> wabaya wa mzazi wako lazima baba aanze kufikilia kama alikuzaa yeye au
>> umezaliwa na mtu mwingine,hilo moja, ELISA usisahau kuwa kina Kunyaranyara
>> ni kind ya kina Maro kimtizamo kuhusu CDM, SI wanajuwa jamaa wakikamata nchi
>> mirija yao itaziba,
>>
>>
>>
>> 2013/3/22 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
>>
>> Denis,
>>Hujui kilicho wakumba akina Dr Lamwai,Prof Lipumba nk.
>>
>>
>>
>>
>>Walewale.
>>
>>
>>
>>From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Friday, March 22, 2013 6:42 AM
>>
>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>
>>
>>
>>Duh...yaani ukiwa mhadhiri huruhusiwi kushiriki mambo ya vyama? Ndicho
>> unachomaanisha kaka?
>>On 21/03/2013 7:57 PM, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
>>
>>MM,
>>>
>>>Ahsante kwa kutujulisha kuwa hata Mhadhiri wetu naye afisa wa chama...!
>>>
>>>Ahsante, sasa nitakuwa na maamuzi huru ya kusoma maandiko yake. Sikujua.
>>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>>>
>>>-----Original Message-----
>>>From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>Date: Thu, 21 Mar 2013 19:48:12
>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>
>>>Kaka yangu Dr. Kitila Mkumbo.
>>>
>>>Niko huru kifikra na usiwe na wasiwasi kuwa huenda naanza kuwa na
>>>tabia kama za wakada wa ccm.
>>>
>>>Nimepata wasiwasi wa ulicho kiandika kutokana na nafasi yako ndani ya
>>>chama na jinsi ulivyo onyesha hali ya kumhurumia Ndugu yetu ZK kwenye
>>>hili tunalo jadili ndio maana nika jihoji na kujiuliza maswali kadhaa.
>>>
>>>Hata hivyo naamini kuliona kwako jua mapema unayajua mengi kuliko mimi
>>>kinda. Nisaidie kwa machache niliyo kuuliza hapo juu.
>>>
>>>On 3/21/13, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
>>> Ezekiel na Elisa.
>>> Tunawashukuru sana kwa kutuelimisha.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> Walewale.
>>>
>>>
>>>
>>>
>>> ________________________________
>>>  From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Sent: Thursday, March 21, 2013 1:51 PM
>>> Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>
>>>
>>> Yeye kama Moderator ameiona haja yako kaka Muhingo. Ataamua la kufanya.
>>> Kazi
>>> njema.
>>>
>>>
>>> K.E.M.S.
>>>
>>> From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Sent: Thursday, 21 March 2013, 3:40
>>> Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>
>>> Naomba uniitie Yona huko aje ajumuishe mada hii. najua angalau
>>> tumeijadili
>>> vya kutosha na pahala tusipokubaliana tumepaon na tunapokubaliana.
>>> napenda taratibu ambayo Yona haitumii sana ya kujumuisha mada
>>> anazoleta.
>>> najua haogopi kuonyessha msimamo wake katika kuhitikisha.
>>> Inapendeza kuona tunao viongozi makini na wanaotofautiana. Hii ni afya
>>> njema
>>> kisiasa na hata kijamii. --- On Thu, 3/21/13, ezekiel kunyaranyara
>>> <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>>>
>>>>From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>Date: Thursday, March 21, 2013, 3:29 AM
>>>>
>>>>
>>>>Muhingo
>>>>
>>>>Mimi nafikiri mada hii inapitia kwenu kwa sababu mbili kuu. MOJA:
>>>> wenzake
>>>> wanauona uwezo wake mkubwa wa kuangalia mambo na kuyafanyia kazi na
>>>> kuyatafutia majawabu. Wanauona uwezo wake mkubwa na hivyo kuwa na woga
>>>> huenda wa kupanga au kujadiliana naye kwa hoja za moja kwa moja.
>>>>
>>>>MBILI: kwa upande wa mahasimu nje ya CDM wanazo sababu mbili kuu, moja
>>>> ambayo na mimi naweza kuwemo ni kule kukubali uwezo wake mkubwa alionao
>>>> wa
>>>> kuona mambo, lakini sasa huwezi kumwambia moja kwa moja isipokuwa
>>>> kutumia
>>>> njia ambayo inaweza kumsaidia kujua na kugundua mapungufu aliyo nayo
>>>> ili
>>>> ayafanyie kazi kisha autumie ujuzi wake kwa ajili ya taifa hili.
>>>>
>>>>Ya pili kwa upande huo huenda ni kutaka wenzie ndani ya kundi lao
>>>> wamchukie
>>>> jambo ambalo silipi asilimia kubwa sana hasa kwa sababu ambazo
>>>> nimewahi
>>>> kusikia mwenyewe akisema. Aliwahi kusema MBUNGE kazi yak ni kuwaletea
>>>> wananchi maendeleo na kuwashawishi kushirikiana hilo limefanyika na
>>>> maendeleo kwa Kigoma sasa yanaanza kuonkana, je sasa niseme kwamba
>>>> hakuna
>>>> kitu wakati barabara naziona?
>>>>
>>>>Wapo waliomwambia wewe pinga tu ndio upinzani huo, kwa kweli hoja hii
>>>> hakuijibu. Aliyasema haya siku moja akiwa Nguruka na vijana wengi
>>>> wakiwa
>>>> wamemzunguka.
>>>>
>>>>Yawezekana kweli ikawa kwamba hayuko na wenzake lakini kwangu mimi
>>>> naiona hoja hii itakuwa kweli tu, kwamba wenzie huenda hawajamulewa
>>>> zaidi
>>>> kutokana na tofauti kubwa waliyo nayo katika uwezo wa kuelewa na
>>>> kutafakari mambo ya kitaifa na kijamii.
>>>>
>>>>K.E.M.S.
>>>>From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>Sent: Thursday, 21 March 2013, 2:58
>>>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>>
>>>>Kwa ujumla Zito ni mwiba kwa timu yake.
>>>>Anazo Character nzuri katika timu kama ulivyosema. Hizo ni 'Functional
>>>> behaviour' katika team building. Lakini naziona na 'NonFunctional'
>>>> ambazo
>>>> zikipakwa manukato zitanukia kama unavyoonesha kusema. Kweli kwa mfano
>>>> hakushiriki kugomea vikao fulani vya bunge na alitumia njia za
>>>> kisayansi.
>>>> lakini kama unaona uhusiano wako na hasimu wako ni mchungu wakati
>>>> uhusiano
>>>> wa mchezaji wako na hasimu huyo ni mtamu sana unawezakufanya
>>>> wanachofanya
>>>> wenzake. Nasita kulegeza katika hilo licha ya ushawishi ninaouona.
>>>>Naelekea kukubaliana na wanaomshuku kuwa huenda akawa hayuko nao.
>>>>Lakini nafikiri kwa kuwa wanaye wanastahili kutafuta namna bora ya
>>>> kumtumia. Ndiyo maana hujawasikia wakimlalamikia directly ila
>>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment