Sunday 24 March 2013

Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

Elisa,
 umelitolea suala la zito vizuri sana, hata nyumbani katika watoto wa kiume ikionekana unaendana tofauti na misimamo ya baba yako na ukawa karibu na wabaya wa mzazi wako lazima baba aanze kufikilia kama alikuzaa yeye au umezaliwa na mtu mwingine,hilo moja, ELISA usisahau kuwa kina Kunyaranyara  ni kind ya kina Maro kimtizamo kuhusu CDM, SI wanajuwa jamaa wakikamata nchi mirija yao itaziba,

2013/3/22 amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Denis,
Hujui kilicho wakumba akina Dr Lamwai,Prof Lipumba nk.

Walewale.

Sent: Friday, March 22, 2013 6:42 AM

Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

Duh...yaani ukiwa mhadhiri huruhusiwi kushiriki mambo ya vyama? Ndicho unachomaanisha kaka?
On 21/03/2013 7:57 PM, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
MM,

Ahsante kwa kutujulisha kuwa hata Mhadhiri wetu naye afisa wa chama...!

Ahsante, sasa nitakuwa na maamuzi huru ya kusoma maandiko yake. Sikujua.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.

-----Original Message-----
From: Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 21 Mar 2013 19:48:12
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?

Kaka yangu Dr. Kitila Mkumbo.

Niko huru kifikra na usiwe na wasiwasi kuwa huenda naanza kuwa na
tabia kama za wakada wa ccm.

Nimepata wasiwasi wa ulicho kiandika kutokana na nafasi yako ndani ya
chama na jinsi ulivyo onyesha hali ya kumhurumia Ndugu yetu ZK kwenye
hili tunalo jadili ndio maana nika jihoji na kujiuliza maswali kadhaa.

Hata hivyo naamini kuliona kwako jua mapema unayajua mengi kuliko mimi
kinda. Nisaidie kwa machache niliyo kuuliza hapo juu.

On 3/21/13, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:
> Ezekiel na Elisa.
> Tunawashukuru sana kwa kutuelimisha.
>
>
>
>
>
> Walewale.
>
>
>
>
> ________________________________
>  From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Thursday, March 21, 2013 1:51 PM
> Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>
>
> Yeye kama Moderator ameiona haja yako kaka Muhingo. Ataamua la kufanya. Kazi
> njema.
>
>
> K.E.M.S.
>
> From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Thursday, 21 March 2013, 3:40
> Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>
> Naomba uniitie Yona huko aje ajumuishe mada hii. najua angalau tumeijadili
> vya kutosha na pahala tusipokubaliana tumepaon na tunapokubaliana.
> napenda taratibu ambayo Yona haitumii sana ya kujumuisha mada anazoleta.
> najua haogopi kuonyessha msimamo wake katika kuhitikisha.
> Inapendeza kuona tunao viongozi makini na wanaotofautiana. Hii ni afya njema
> kisiasa na hata kijamii. --- On Thu, 3/21/13, ezekiel kunyaranyara
> <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>
>>From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Date: Thursday, March 21, 2013, 3:29 AM
>>
>>
>>Muhingo
>>
>>Mimi nafikiri mada hii inapitia kwenu kwa sababu mbili kuu. MOJA: wenzake
>> wanauona uwezo wake mkubwa wa kuangalia mambo na kuyafanyia kazi na
>> kuyatafutia majawabu. Wanauona uwezo wake mkubwa na hivyo kuwa na woga
>> huenda wa kupanga au kujadiliana naye kwa hoja za moja kwa moja.
>>
>>MBILI: kwa upande wa mahasimu nje ya CDM wanazo sababu mbili kuu, moja
>> ambayo na mimi naweza kuwemo ni kule kukubali uwezo wake mkubwa alionao wa
>> kuona mambo, lakini sasa huwezi kumwambia moja kwa moja isipokuwa kutumia
>> njia ambayo inaweza kumsaidia kujua na kugundua mapungufu aliyo nayo ili
>> ayafanyie kazi kisha autumie ujuzi wake kwa ajili ya taifa hili.
>>
>>Ya pili kwa upande huo huenda ni kutaka wenzie ndani ya kundi lao wamchukie
>> jambo ambalo silipi asilimia kubwa sana hasa kwa sababu ambazo nimewahi
>> kusikia mwenyewe akisema. Aliwahi kusema MBUNGE kazi yak ni kuwaletea
>> wananchi maendeleo na kuwashawishi kushirikiana hilo limefanyika na
>> maendeleo kwa Kigoma sasa yanaanza kuonkana, je sasa niseme kwamba hakuna
>> kitu wakati barabara naziona?
>>
>>Wapo waliomwambia wewe pinga tu ndio upinzani huo, kwa kweli hoja hii
>> hakuijibu. Aliyasema haya siku moja akiwa Nguruka na vijana wengi wakiwa
>> wamemzunguka.
>>
>>Yawezekana kweli ikawa kwamba hayuko na wenzake lakini kwangu mimi
>> naiona hoja hii itakuwa kweli tu, kwamba wenzie huenda hawajamulewa zaidi
>> kutokana na tofauti kubwa waliyo nayo katika uwezo wa kuelewa na
>> kutafakari mambo ya kitaifa na kijamii.
>>
>>K.E.M.S.
>>From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Sent: Thursday, 21 March 2013, 2:58
>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>
>>Kwa ujumla Zito ni mwiba kwa timu yake.
>>Anazo Character nzuri katika timu kama ulivyosema. Hizo ni 'Functional
>> behaviour' katika team building. Lakini naziona na 'NonFunctional' ambazo
>> zikipakwa manukato zitanukia kama unavyoonesha kusema. Kweli kwa mfano
>> hakushiriki kugomea vikao fulani vya bunge na alitumia njia za kisayansi.
>> lakini kama unaona uhusiano wako na hasimu wako ni mchungu wakati uhusiano
>> wa mchezaji wako na hasimu huyo ni mtamu sana unawezakufanya wanachofanya
>> wenzake. Nasita kulegeza katika hilo licha ya ushawishi ninaouona.
>>Naelekea kukubaliana na wanaomshuku kuwa huenda akawa hayuko nao.
>>Lakini nafikiri kwa kuwa wanaye wanastahili kutafuta namna bora ya
>> kumtumia. Ndiyo maana hujawasikia wakimlalamikia directly ila wanapitia
>> kwetu kama na ambao wanamtetea wanapitia kwetu pia. Unafikiri kwa nini
>> kuna mada hii-hasa kwa kupitia chanel iliyotumika(?!?) --- On Thu,
>> 3/21/13, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>>
>>>From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>>Subject: Re: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>>>Date: Thursday, March 21, 2013, 2:27 AM
>>>
>>>
>>>Muhingo,
>>>
>>>Mimi nafikiri hili ni tatizo la kitanzania zaidi au niseme ni la kisiasa
>>> zaidi, kwamba mtu akipendwa na hasimu wako basi unapoteza sifa zote za
>>> kuwa mwenzi unayeaminika au unayetumainiwa. Mahali pengine ungeweza
>>> kuweka uataratibu wa kuangalia ni kitu ganai kutoka kwake unaweza
>>> kukitumia kwa manufaa yako. Kwa mfano mtu anaweza kuwa mhamasishaji mzuri
>>> katika kuanziasha jambo fulani lakini siyo mzuri katika kulisimamia na
>>> kuliendeleza. Ukimuachia mtu kama huo atalisambaratisha lile
>>> alilolianzisha.
>>>
>>>Ninamuona kwa upande mwingine Zitto yuko huko, kwamba yeye anazo sifa za
>>> kuanzisha na ku-maintain, wale walioko kwenye timu yake wana sifa au ya
>>> kuanzisha tu na wengine kuendeleza tu hawana zote mbili. Kwa hiyo hili
>>> linawapa shida sana wakishindwa kujua huyu mwenzetu yukoje.
>>>
>>> Jambo lingine ni stahili ya vurugu ambayo wanayo wenzake, japokuwa naona
>>> hata yeye anaanza kuizoea japokuwa anaipitisha kwa hoja (fuatililia
>>> sakata la Gesi ya Mtwara).
>>>
>>>Lakini jambo lingine huenda ni asili ya mtu mwenyewe alikotokea. Watu
>>> wansema Waha ni wabishi (Niko tayari kukosolewa), hawashindwi jambo,
>>> lakini  wana hulka au wanapenda kujaribu mambo mazito na makubwa, jambo
>>> hili nalo wengine wanadhani hii ni hulka tu ya watu wakubwa na kwa
>>> kufanya hivyo wanamuona kama bwana mdogo anakosa heshima kwa wakubwa na
>>> chama chake.
>>>
>>>Ukichanganya mitizamo hii utaona kuwa inaweza wakati mwingine kuwa vigumu
>>> kuwa mshika mzuri wa timu yake ya sasa. lakini anakubalika katika jamii
>>> na hata wapiga kura wake pia.
>>>
>>>K.E.M.S.
>>>From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>Sent: Thursday, 21 March 2013, 2:05
>>>Subject: Fw: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>
>>>
>>>
>>>
>>>Ezekiel.
>>>>Nafikiri nimekuelewa na umeijadili mada yenyewe.
>>>>Naweza kukiri kutofautiana nawe kidogo. Team hutofautiana kufuatana na
>>>> Task iliyo mbele yake.
>>>>Lakini timu tofauti zina maadili tofauti bila kujali kuwa mchezaji aweza
>>>> kuwa katika timu mbalimbali. Muhimu ni yeye kuyasoma maadili ya timu
>>>> kufuatana na malengo yake.
>>>>Nakumbuka kwa mbali kuna mchezaji wa Yanga aliwahi kutimuliwa kwa kukutwa
>>>> amevaa jezi ya Simba. Kama nimekosea basi ni mtu kuvaa jezi ya simu
>>>> hasimu.
>>>>
>>>>Kuna malalamishi halali (kwa mfumo na mwenendo wa kisiasa tulio nao) kuwa
>>>> Zito anakuwa karibu na mahasimu wa CHADEMA. Hata hapa jamvini humu Zitto
>>>> hutetewa na wahasimu wa CHADEMA (Sina tabia ya kutaja ila
>>>> kuna atakayetaja). Hii haionyeshi kuwa yeye yuko CHADEMA 100%. Infact
>>>> kama si populality aliyojijengea kutokana na hoja ya Buzwagi huenda
>>>> angeishaenguliwa.
>>>>
>>>>Kwa hiyo uzuri wake akiutumia kwenda pinda na maadili ya Team work ndani
>>>> ya chama chake anajikuta anapitia haya yaliyoletwa na YONA mmoja wa wale
>>>> wanaoonekana kuijadili negatively CHADEMA hasa Dr Slaa (Yona
>>>> usikasilike).
>>>>Kweli kama ulivyosema kuwa anasoma maoni haya, na kwa kuwa ana uwezo wa
>>>> kuelewa tunachoandika na tunaachomaanisha basi lazima atafaidi mjadala
>>>> huu na hasa wale wanapogusa mwiba ulipoingilia.
>>>>Elisa  --- On Wed, 3/20/13, ezekiel kunyaranyara
>>>> <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>>>>
>>>>>From: ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>>>To: "wanabidii@googlegroups com" <wanabidii@googlegroups.com>,
>>>>> "elisamuhingo@yahoo.com" <elisamuhingo@yahoo.com>
>>>>>Date: Wednesday, March 20, 2013, 1:48 AM
>>>>>
>>>>>
>>>>>Muhingo nadhani umesema vizuri hapo hasa TEAM work spirit. Kimtizamo
>>>>> naona Zitto anaweza kufanya kazi na wengine, ukiona hata ambavyo
>>>>> amekuwa anashirikisha wabunge wenzake katika Kamati aliyopewa kuiongoza
>>>>> hapo nyuma mimi niliona aliwashirikisha vizuri.
>>>>>Tatizo ninaloliona mimi wakati mwingine ni timu unayopewa kufunga nayo
>>>>> magori. Katika timu aliyomo haitaki uelwa wake, hasa tu pale alipotaja
>>>>> kuwania Urais basi timu ikaanza kumkataa. Hapa ni sawa na kusema kwenye
>>>>> mpira mchezaji wa nafasi ya ulinzi atafute kufunga goli halafuwachezaji
>>>>> wa mbele waanze kumlaumu na kisha waseme huyu hafai kabisa.
>>>>>Hata hivyo kwa kuwa anasoma sana hapa jukwaani naamini taanza kuifanyia
>>>>> kazi. Lakini mh timu yenyewe anayotakiwa kufanya nayo kazi haimuhitaji
>>>>> huenda anakubalika na upande wa pili... ni mtizamo wangu tu kaka
>>>>> MUHINGO.
>>>>>Sent from Yahoo! Mail on Android
>>>>>From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>;
>>>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>;
>>>>>Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>>>Sent: Wed, Mar 20, 2013 2:53:41 AM
>>>>>
>>>>>Mimi nionavyo Zitto ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kupambanua mambo,
>>>>> kujieleza nakadhalika.
>>>>>Lakini naona kana kwamba ana tatizo la kufanya kazi katika TEAM.
>>>>>
>>>>>Tusidhani wale wanaomweleza kama alivyolileta Yona ni wabaya wote.
>>>>> Sidhani.
>>>>>Hebu tuliangalie hili kwa kuyachunguza yale wayasemayo wanaomuandika
>>>>> kama asemavyo Yona katika hoja ya msingi na tuuangalie mwenendo na
>>>>> matamshi ya Zitto. Tutaliona tatizo lake na huenda kama ni mtu
>>>>> anayepokea Feedback akafanya mabadiliko na kukifaa CHAMA chake na Taifa
>>>>> kwa ujumla.
>>>>>Watu wenye akili na uwezo mkubwa wakati mwingine hukwama katika kufanya
>>>>> kazi kwenye team.
>>>>>Si kazi ndogo kufanya kazi kwenye team. Mahala pengine unahitaji
>>>>> kuwasubiri wenzako na hii 'ikakuchelewesha'.
>>>>>
>>>>>Hatwendi peke yetu katika kazi ya wengi. Katika Team pamoja na malengo
>>>>> ya kila mtu-tuna malengo ya Pamoja. Mfunga goli hutegemea walinzi na
>>>>> wengine. Mtu ukitaka kuanzoa mwanzo wa uwanja mpaka golini utafanya
>>>>> wote mfungwe. Hebu tuangaie huko na tunaweza kumsaidia kabwe kama ndiyo
>>>>> nia ya mleta mada.
>>>>>
>>>>>Elisa Muhingo --- On Tue, 3/19/13, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>>>From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>>>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>Date: Tuesday, March 19, 2013, 10:38 AM
>>>>>>
>>>>>>
>>>>>>Kitila, Hili unasema ni kweli hasa ukichanganya na ushamba, umaskini,
>>>>>> wivu, na kutojituma inazidisha chuki za akina sie! Ni balaa la
>>>>>> kijamii!
>>>>>>Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Vodacom Tanzania.
>>>>>>From: Kitila Mkumbo <kitilam00@gmail.com>
>>>>>>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>Date: Tue, 19 Mar 2013 19:52:01 +0300
>>>>>>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>>>>>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>>Subject: Re: [wanabidii] TATIZO LA ZITTO ZUBERI KABWE NI NINI ?
>>>>>>Ukitulia vizuri ukaangalia mbele na nyuma utaona kwamba katika jamii
>>>>>> yetu tuna tabia ya kuchukia watu wenye uwezo, hasa wa kiakili. Tangu
>>>>>> tukiwa mashuleni watu wanaonyesha uwezo mkubwa darasani na wanaofanya
>>>>>> sana bidii huwa wanachukiwa na kutengwa. Hilo linaendelea hadi katika
>>>>>> jamii na linajionyesha waziwazi pale ambapo huwa tunajikuta tunachagua
>>>>>> viongozi bora viongozi na kuwaacha wale wanaoonekana wana uwezo. Mtu
>>>>>> anayeonekana ana uwezo atapigwa vita kila kona hadi 'aishe' kisiasa.
>>>>>> Ni nadra katika jamii yetu mtu mwenye uwezo sawasawa akapenye katika
>>>>>> uongozi. Ndivyo alivyokwama SAS, na ndilo jambo analohangaika nalo ZZK
>>>>>> na yeye amekuwa na ngozi nzito kwelikweli!!
>>>>>>2013/3/18 Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>>>>>>Ndugu zangu
>>>>>>>
>>>>>>>Katika siku za karibuni tumeona vitisho , kashfa , dharau na aina
>>>>>>>nyingine za dhihaka dhidi ya mwanasiasa kijana mhe zitto kabwe na
>>>>>>> hata
>>>>>>>wakati mwingine unasoma kwenye mitandao ya kijamii safari zake
>>>>>>> binafsi
>>>>>>>au mikutano binafsi ikichapishwa kwa maana ambayo sio sahihi .
>>>>>>>
>>>>>>>Mpaka sasa hivi sijawahi kuelewa tatizo la Zitto Kabwe ni nini mpaka
>>>>>>>anaandamwa ndani ya chama chake kwa siri siri na hata kwa uwazo tu
>>>>>>>toka kwa baadhi ya viongozi na wanachama ambao ungetegemea wawe ndio
>>>>>>>kichocheo ya maelewano ndani ya chama na nje .
>>>>>>>
>>>>>>>--
>>>>>>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>>>>International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>>>>
>>>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>> ukishatuma
>>>>>>>
>>>>>>>Disclaimer:
>>>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by
>>>>>>> our Rules and Guidelines.
>>>>>>>---
>>>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>>>
>>>>>>>
>>>>>>>-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs -
>>>>>>> www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>>>> ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the
>>>>>>> sole responsibility for any legal consequences of his or her
>>>>>>> postings, and hence statements and facts must be presented
>>>>>>> responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>>>>>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. ---
>>>>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>>>> Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop
>>>>>>> receiving emails from it, send an email to
>>>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit
>>>>>>> https://groups.google.com/groups/opt_out.    -- Jobs in Africa -
>>>>>>> www.wejobs.blogspot.com International Jobs -
>>>>>>> www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
> by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this
> group and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.     --
>>>>>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>>>>International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>>>
>>>>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma
>>>>>
>>>>>Disclaimer:
>>>>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>>> facts must be presented responsibly. Your continued membership
>>>>> signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our
>>>>> Rules and Guidelines.
>>>>>---
>>>>>You received this message because you are subscribed to the Google
>>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>>>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>>
>>>>>
>>>>>   -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs -
>>>>> www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>>> ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
>>>>> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and
>>>>> hence statements and facts must be presented responsibly. Your
>>>>> continued membership signifies that you agree to this disclaimer and
>>>>> pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this
>>>>> message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii"
>>>>> group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from
>>>>> it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more
>>>>> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    -- Jobs in
>>>>> Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs -
>>>>> www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
> by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this
> group and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.     -- Jobs in Africa -
> www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
> Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata
> Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this
> Forum bears the sole responsibility for any
>  legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> --- You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For
> more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    -- Jobs in
> Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs -
> www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You
> received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more
> options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
> -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs -
> www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your continued
> membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide
> by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are
> subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this
> group and stop receiving emails from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Facebook: http://www.facebook.com/mouddymtoi
--

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment