Friday 11 January 2013

[wanabidii] UTUPAJI MIMBA KWA NG’OMBE (ABORTION IN CATTLE)

Kutupa mimba ni kitendo cha kutolewa kwa ndama wa ng'ombe nje ya mfuko
uzazi na mara nyingi akiwa amekufa kunakotokea kati ya siku ya 42
hadi siku takribani ya 260 kabla ya siku zake za kuzaa kawaida. Mimba
yeyote inayopotea kabla ya siku ya 42 inajulikana kama "kifo
kiinitete" (embryonic death) na kile kinachotokea kati ya siku 260 na
muda wa kawaida wa kuzaa hujulikana kama "ndama asiye riziki"
(stillbirth). Kutupa mimba isiyozidi mitano kwa kila ng'ombe 100 kwa
mwaka huonekana kitu cha kawaida katika shamba, ingawa kila upotevu wa
ndama mmoja katika hatua yeyote ile una maana kubwa sana kwa upande wa
kipato wa mfugaji. Malezo zaidi endelea hapa
http://achengula.blogspot.com/

--




*To all the questions of your life YOU are the most possible answer. To
all the problems of your life YOU are the best solution. Trust yourself*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment