Saturday 12 January 2013

[wanabidii] UKABILA HUU NA RUSHWA HII NDANI YA IDARA YA UHAMIAJI

 

 

MHE: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI TUNAOMBA USHUGHULIKIE UKABILA HUU NA RUSHWA HII NDANI YA IDARA YA UHAMIAJI.

Mhe. Waziri Nchimbi huu ni sehemu tu ya matatizo ya Idara ya Uhamiaji na tumeonelea tuguse maeneo makuu mawili ambayo kwayo madhara mengine yametokea. Mosi ukabila,Idara kwa sasa inaongozwa na wachaga na kurithishana madaraka kwa ajili ya kulinda mtandao wao. Muasisi wa mtandao huu ni Kishe ambaye kwa sasa yupo Namanga kama mfawidhi. Huyu ndiye aliye mleta Mongi, Shayo, Kasike, Mtenga, Mgonja na Kumuwekea  mazingira ya kuwa mwanasheria wa idara Hannerole Manyanga .

 Hawa wamekamata utawala na kwa kupitia ofisi hiyo wameajili na kuwapangia wachaga na wapare kwenye maeneo ya mikoa mikubwa ambako wanawasapoti kwa kuhakikisha wanapewa upendeleo katika nafasi za fedha hata kama hawana sifa hizo.  Ukifanya utafiti utagundua kuwa mchaga mwenye  ufaulu mdogo ata ajiliwa akiachwa mtu wa kabila lingine mwenye ufaulu mzuri hivyo idara sasa inaajili watu wa kawaida sana tofauti na hapo awali. Tabia hii ya kuajiliana na kupangiana  vituo imetengeneza mtandao wa kupeana pesa, yaani wanageuzana ni chanzo cha mapato cha walio wasaidia kupata kazi ama kituo.

 Tabia hiyo imejenga tabia ya watumishi kuona kua bila pesa huwezi saidiwa kwani vijana walio waajili wanaongoza kwa matendo yasiyo ya ki utumishi wa umma,maana wanajua kazi yao ni kupeleka pesa na hakuna wa kuwawajibisha. Hawa ni maarufu kumtengenezea mtu kashfa hasa anayetishia kuuvuruga mtandao wao bila ya yeye mwenyewe kujua.

 Ebu angalia namna walivyo mpatia cheo DCI Mongi ili arithi na kuficha siri za Shayo. Huyu Mongi hakuwepo wakati vyeo vya mkululo (U Kamisha msaidizi) vilipo tolewa alikuwa katika tume ya utumishi wa umma, na alipo rudi kwa namna ya mashaka , yeye  binafsi alikua mmoja wapo wa kutaka kuvifuta, kwani baada ya kuona mchakato utachukua muda mrefu akaanzisha mchakato wa yeye kujipatia cheo.

 

 

Wakimtumia Joseph Francis Kasike na Hannerole Manyanga (Mwanasheria) kuomba cheo hicho kupitia Ofisi yako na kushindwa kupewa mara mbili kwa hoja kuwa bado utumishi Wizara wanavifanyia kazi , huyo Kasike akaamua kwenda  utumishi kuu na kumuona Bwana Mlay ambaye yuko utumishi kuu Ikulu, kwa nafasi yake akampatia cheo ndugu Mongi eti idara ime muombea cheo. Sasa amepangiwa kazi ya Nduguye Shayo mwenye tuhuma ya uchakachuaji wa permit za Idara.

Mhe. Nchimbi sisi hatuna ubaya na hawa watu na tunafanya kazi nao lakini tabia zao zina tupelekea kujiuliza mustakabari wa Idara hii kwa vizazi vijavyo. Ebu angalia na hii ya hivi karibuni ambayo imetokea Tanga. Kuna afisa anaitwa Erasimus Francis ambaye naye ni mchaga, alihamishwa toka Arusha kwenda Pangani kama adhabu baada ya uchakachuaji wa permit huko Arusha. Huyu afisa aliondoka kituoni kwake takribani miezi sita bila ya ruhusa na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kwake na afisa uhamiaji Mkoa  DCI Nyaki (mchaga) , kama alivyo wachukulia Afisa Gervas Mpangie wa Tanga, ambaye ni mgonjwa wa moyo na kutokana na maradhi yake ambayo ofisi inajua alienda matibabu na kuchelewa kurudi sasa ana jibu mashitaka, na kama alivyo chukuliwa Ghalib Yusuph wa Tanga ambaye alizidisha siku za likizo kwa sababu za kuuguliwa na wazazi, sasa anajibu Mashitaka.

 Bali kwa huyu mchaga hali ni tofauti. Hakuna barua toka kwa RIO Tanga. Lakini  Honelole Manyanga, Joseph Francis Kasike  na Mary stella( PHRO – Mpya nayeye Mchaga). Wamemtafuta na kumtaja Erasimus Francis kama msomi mzuri hivyo hawawezi kumpoteza na wamemhamisha toka Pangani hadi Chuoni Moshi TRITA, na kumpeleka training ili apate pesa kwani Idara ili mchanganya (frustrate) kwa kumpeleka pangani, kuna maafisa wazito na weredi wa kazi za idara sana wamenyanyasika na adhabu za visingizio hapa idarani hatuja wahi waona wakithamini ujuzi na uzoefu wao na waliishia kuacha kazi ama kuishia kulewa tu mpaka wanakufa au kustaafu .

 

 

 Hivi hii ni nini? Kama si kulewa madaraka, ebu niulize ni watumishi wangapi ambao si wachaga wametendewa hivi? Na Kwanini vikao vikaliwe vya watu wa kabila moja? Mhe. Waziri  Idara ina wasomi wengi mno na wenye uelewa mkubwa wa masuala ya fani mbalimbali lakini aliye katika mtandao huu Mchaga ndiye bora kuliko wote. Wamejenga utamaduni wa mkono mtupu haulambwi. Mtandao wao unaigharimu Idara, Umebadili dhamira ya kuwa Afisa uhamiaji ni mtumishi na badala yake Uhamiaji imekuwa ni kusaka fedha kwa njia zisizo halali kwani wapo watakao kulinda na  kukutetea.

Wachaga ni watumishi wa vituo vilivyo vikubwa tu, huwezi kuwakuta Pemba ambako tunapelekwa siye tukionekana ni kero kwao bali wao ni wasomi wazuri waa Idara (si wao haiwezi kuwapoteza). Wana haki ya kutamba maana wamefanikiwa kukamata Idara ya Fedha- Peniel MgonjaJoseph Mtenga -Planning, Msaidizi wa Mhasibu mkuu Jane Temu na Ludovick Kavishe – system  wameikamata idara wanaweza kushawishi na kutekeleza walio jipangia bila kubainika wala wasiwasi. Hapo idarani kuna watumishi wenye CPA nab ado hawajawa wasaidizi wa Chief Accountant, hata walio jaribu kuwa wasaidizi wasio wachaga walifanyiwa zengwe na kuondolewa, angalia wakuu wa vitengo  wengi wao ni hao hao Wana wa Israel.

Permit yupo Dawson Mongi, Passport yupo Hilgat L Shauri. Legal yupo Hannerole, Utumishi yupo Mary Stella na Joseph Kasike, Manunuzi yupo Mshana na Transpot yupo Musa.  Mtandao huu umetumika vibaya kwani hata baadhi ya Maafisa uhamiaji mikoa wametumika kuu imarisha. Kwa tabia mbaya za maafisa hao wa Mikoa kupenda kuwa nyanyasa watumishi na kuwatishia kuwa hamishia vituo vigumu kama manyara,Pemba, Lindi,Songea , Rukwa na Mtwara watumishi wasio kubaliana na utendaji wao mbovu wame jikuta wakiwapigia magoti wana mtandao hawa ili kutimiza adhima yao.

 

 

 

 

 Mhe. Nchimbi, ukienda mikoani tembelea makao makuu ya mikoa na kituo chochote cha mpakani ambacho kipo active, utaona idadi ya wachaga waliopo hapo na sehemu walizo pangiwa. Wanapangiwa sehemu ambazo hawaja somea na kuna wasomi walio somea sehemu hizo. Hawaoni shida hata wakiwa wote kwenye kitengo kimoja wao ni  wa ISRAEL , na sisi wengine ni Wapalestina ndivyo wanavyo jiita na kutuita. Kwa kua eti wana IGP, Mkuu wa Magereza, Na Uhamiaji wata Muweka Hannerole Manyanga kuwa kamishina mkuu wa Uhamiaji. Na sisi tunasubiri utimie unabii wao.

Lakini tuna jiuliza kama hali ndiyo hii kuna uwezekanao mkubwa kuwa mtandao wao si mdogo bali ni mkubwa na upo hata nje ya Idara na Wizara. Mhe Nchimbi hii ni dalili ya mvua au mvua kamili maana tayari picha unaiona. Uteuzi Ma RIO  wa hivi karibuni ni kero kabisa una fanana na kinachoendelea kwa jirani yetu.  Towo – Lindi, Kombe – Kagera, Rose – Njombe, Nyaki – Tanga, Mlay na Mosha – Tunduma, Kishe – Namanga, Masawe – Dodoma, RIO - Dsm. Sasa wamemsogeza Arnold Munuo toka Lusumo kuja Dar es salaam kuja kuandaliwa kushika nafasi ya utumishi na hali wapo watu waliobobea na wasomi wapo vitengo vingine.

Mtandao huu si kwa manufaa kwa nchi au Idara bali ni kwa manufaa ya matumbo yao na jamaa zao, tabia hii uambukiza kwani waswahili usema ukiona huwezi kuwashinda basi ungana nao, hivyo Viongozi wengine wengi wame ungana na Mtandao huu ili kuficha maovu yao. Sisi tuna jiuliza kweli serikali hailioni hili na kama inaliona inakaa kimya kumaanisha nini? (Sisi tuna hofu isije ikawa ndiyo labda serikali yote imekuwa mdau wa mtandao wa wachaga.) . Huyu Mary Stella Majula (PHRO) yeye kaja na jukumu la kuwa shughulikia watu wa kanda ya ziwa eti ni wengi hapo makao makuu, na hali yeye anaenda kwao (Moshi-Marangu)kila mara, akitumia pesa za serikali na hali hatujui huko anafanya nini au idara iko Kilimanjaro tu?

 

 

 

 

Tabia ya kuwawinda watu wa kanda ya ziwa ni hatari kubwa kwa watumishi,  sisi tuna dhani hataishia hapo ataendelea kuwashughulikia na watumishi toka kanda ya kati, Kusini, Kusini nyanda za juu na Mashariki kwani kaletwa kusafisha njia ya wana wa Israel, kuu pata Ukurugenzi.

 Wafuatao ni wanamtandao waliopo Makao makuu na viongozi wao wenye majina yaliyo nakshiwa.

1.Peniel  Ombeni Mgonja     2. Isaack Bahati Fota           3. E Crymont Nsowela   4.Dawson  Emil Mongi         

   5. Nandula  Patience Kombe     6. Anna Kyara Michael   7.Hannelore M  Manyanga    8. Rogate Mingo Daniel           

    9. Joseph Henry Mtenga         10. Lusarago  D  Mreka               11. Gloria W Mbasha       12. Peter William Lemery

13. Kale sylivia Joseph Utouh     14. Violeth Kiwelu Eliabu         15.  Felis Bilauri Mshana     16.Abdallah Musa Msangi       17. Liberatus Stanley Njuu        18. Mary Stella Majula     19. Joseph Francis Kasike      20. Sifael Stephen Tendwa           21. Novatus Aloyce Mlay     22. Beatrice Anamensa Kanza        23. Adinani Kidah Musa    24. Hendrick Fraita Mtui

25.Zakayo Leonard Lema          26. Novaita Edmund Mrosso    27. Moses Ismail Malisa 28. Dotto Roman Selasin 

     29. Christian Bernard Daat       30. Liberia Onesphony Manyanga  31. Christian Francis Mndeme     32. Frida Frant Maeda             33. Happiness William Kambuga  34. Triphonia Joseph Kinebo      35. Laurentia Isdom Blasius         36. Hilda Dawson Uiso                  

    37. Tunu Mfinanga Asili         38. Marylen Msangeni Elisaria    39. Francis Noel Katawa        40.  Irene Abel Mlack                       41. Prosper Dions Mushi          42. Fasiruni Shabani Msofe             43. B Roman Kereti        44. Arnold Remy Mrema      

  45. Damian Roman Chikwa       46. Magreth Johnson Ngomuo     47. Hyasinter Ndewingla Tarimo    48. Salome Edgar Bolly                   

 49.  Gelard Honest Kawishe       50. Glory Ephraimu Mbuya        51. Hilgat Laurent Shauri               52. Paul John Mselle               53. Rose  Robert Shayo               54. Patric Boniface Ngowi          55. Peter Jerome Kundy              56. Lucy Anselm Nyaki       57. Donald Lyimo Dustan          58. Siana Manasseh Kidin              59. Epiphania Joseph Lyimo    60. Juliana Selestine Mnerey         

 61. Lilian Humphrey Maleko      62. Raphael Timothy Maembe    63. Beatrice Elineema Lema       64. Lilian Emmanuel Lema          65. Irene Fraterine Lyamungu     66. Victor Stanley Ngowo               67. Jane Temu                  68. Emmanuel Elihuruma Mrema    69. David Amani Minja.70. Ludovick Kavishe.

Mhe. Nchimbi hali hiyo ipo makao makuu tu na hao tulio wa wekea vivuli ndiyo vinala wa mtandao huu katika vitengo mbalimbali. Mkakati tulio nalo ni kuanika uozo wote mikoani baada ya kukueleza ya Makao makuu kwani hata huko mtandao ume waweka wachaga kwenye maeneo wasio na sifa nayo huko mikoani kupitia Ma Rio, ama yenye kuwaneemesha wao kwa njia moja ama nyingime. Pamoja na kasumba ya kutengenezeana mazingira ya nafasi za masomo na kozi fupi na safari za nje ya nchi kwa watumishi junior wakati senior officers hawajawahi kwenda wala kutumwa. Idara hii huwezi zungumzia suala la elimu, kwani vihiyo wa elimu bado watabaki ni haohao wachaga waliozoea kubebana hata vyuoni.

 Pili Rushwa, ya ndani ya Idara ni kama mazoea sasa kwani bila pesa huna cheo wala huja amishiwa unapo stahili, Imefika wakati Wana sema ``nitakufanya utakaa usipewe ofisi ndani ya Idara hii kamwe'' hii utokea pale unapoonekana kikwazo mfano ni juzi tu, pale msaidizi wa Kishe kule namanga alipo mwambia Waziri Kagasheki kuwa incharge huwa akaagi ofisini bali kwenye mapombe tu, kilicho tokea msaidizi alihamishwa haraka sana, hali ni hiyo hiyo ipo Tunduma kwani ukimkuta Mlay ofisini basi katambikie, ila yeye amekasimu madaraka kwa Mosha na hivi sasa nasikia wanahalalisha ukaimu wa Mosha kwa kuwaondoa wale waliomzidi cheo.

Mhe. Nchimbi vyeo, kuajili na uhamisho ni rushwa isiyo kifani na mhusika mkuu ni Kasike, Mongi, Mgonja na Hannerole. Mgonja hana waku mlalamikia kwa kutajwa kwake kwani kama hanufaiki na mtandao huu anajisikiaje pale watu wanalalamika hali yeye yupo na hakuna mabadiriko, ana nufaika kwani mambo yake yanakwenda sawa, hivyo mwenye shibe hamjui mwenye njaa sisi tunajua walipo jificha tuta wauumbua wakibisha kwani tunaishi nao.

Mhe. Nchimbi tumetaja jina lako mara kadhaa na si wadhifa wako kwani una nyadhifa nyingi, hivyo tukaonelea tutaje ambayo kwayo jamii ilikutambua na kuku heshimu kwa sababu kuu mbili, Mosi Tunaomba uhakikishe Kamishna Mteule Ulungi ana apishwa ili aache visingizio kucheza karata walizo mzoesha akina Shayo, ili alione tatizo na umsaidie kuitengeneza idara katika sura ya kitaifa. Pili uungalie mtandao huu kwa mapana yake kwani ni aibu na haionyeshi usomi wetu hata kidogo. Imefikia vijana wanao ajiliwa sasa wanajua watapangiwa wapi  kabla ya kumaliza mafunzo na ni lazima wapangiwe huko huko, hivyo uanza kazi leo na leo leo wanaanza kuchakachua hii ni Rushwa mbaya sana haifai.

 

 

 

 

 Mwisho tuna wataka maafisa wote wa uhamiaji popote pale walipo watambue kuwa hawako salama, hivyo basi ni kujitahidi kuufichua mtandao huu na viongozi vibaraka wa mtandao huu, kwani hakuna wa kuthubutu kama hatuja thubutu. Tunakuja mikoani andaeni au tumeni kwenye email mukabila@gmail.com  hii dondoo za kumpelekea Mhe. Nchimbi na Mkurugenzi wetu.

Aksante.

Nakala – PCI Ulungi.

-          Watumishi wote wa Makao Makuu DSM / Znbar via Kaswende – usiufiche waraka huu.

-          Mikoa yote ya Uhamiaji.

 

 

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment