Thursday 10 January 2013

[wanabidii] Re: Tarime inaelekea wapi?

Nimesikitishwa na kitendo cha kamanda wa Polisi kutambulisha watu kwa
makabila yao hili suala ni baya huyu kamanda inabidi kukemewa inaweza
kuleta mgawanyiko zaidi .

Kuhusu suala la Tarime ni kwamba kuna matatizo zaidi ya dhahabu ni
wananchi wenyewe kuamua kama wanataka maendeleo na mabadiliko ,
kuuwana na uhalifu wa aina nyingine hauto wapeleka popote , kuna
maeneo kule watu wamechomewa nyumba zao sababu tu wamehamia eneo
ambalo sio la ukoo wao , wengine wamechomewa nyumba kwa sababu si
wenyeji na wanaofanya vitendo hivi hawachukuliwi hatua yoyote.

On Jan 10, 5:06 pm, mobini sarya <mobins...@yahoo.com> wrote:
> isome attachment hii
>
> ________________________________
>  From: Reuben Mwandumbya <ipyan...@yahoo.com>
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Thursday, January 10, 2013 4:08 PM
> Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
>
> Hamna bana Mwita;
> Vingekuwa vya kawaida Serikali isingekuwa agaist them,unataka kuhalalisha bana Mwita.
> Ukitaka viwe halali usisahau kutoa maoni yako kwenye mchakato wa katiba.
>
>
> Reuben
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> >________________________________
> > From: Victor Mwita <victormw...@gmail.com>
> >To: wanabidii@googlegroups.com
> >Sent: Thursday, January 10, 2013 12:41 AM
> >Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
>
> >Sasa jamani bangi si ni kitu cha kawaida tu? Wala haina uhusiano na ukali. Gongo hapa mjini imejaa na sioni ikisababisha mapigano na wizi wa ng'ombe.
> >Seriously tunahitaji mtu wa kurekebisha hali huko Tarime maana napo ni Tanzania
> >On Jan 10, 2013 3:18 PM, "Reuben Mwandumbya" <ipyan...@yahoo.com> wrote:
>
> >> Comrade Mwita;
> >> Tatizo lingine labda nalo linaweza kuwa chanzo cha hali tete Musoma ni matumizi ya BANGE na GONGO,hizi hasira zinazosemwa zinasababishwa na ujasiri unaotokana na haya mambo mawili (hii ni kwa mujibu wa uelewa wangu),wala sio ujasiri.
> >>
> >> Reuben
>
> >>> ________________________________
> >>> From: Victor Mwita <victormw...@gmail.com>
> >>> To: wanabidii@googlegroups.com
> >>> Sent: Thursday, January 10, 2013 12:00 AM
> >>> Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
>
> >>> Wawakilishi tunao ila sijajua kama hawayaoni hayo matatizo yanayowakabili wapiga kura wao. Tumefanya majaribio kambi zote za siasa lakini hakuna mabadiliko.
> >>> Hayo ya kusema tuna hasira ni kutuonea tu, kila sehemu watu wana hasira na hata kama kweli kuna watu wenye hasira ndio wamesuswa jamani!
> >>> Hebu wananchi wa Tarime tuamue kufanya jambo la maana ili kuokoa jamii yetu.
> >>> Ila watu wa mitandao hivi kweli waliona ni busara kuweka minara yote Nyamwaga tena bondeni na kuacha sehemu za miinuko? Hata kama sijasomea masuala ya mitandao naamini kwa kuweka mnara sehemu iliyoinuka unaongeza coverage.
>
> >>> On Thu, Jan 10, 2013 at 2:44 PM, De kleinson kim <deklein...@gmail.com> wrote:
>
> >>>> Mtoi,
> >>>> Hii nayo kali "kudungua helkopta na kombea wakidhani kuwa ilikuwa
> >>>> imebeba dhahabu." :)
>
> >>>> --
> >>>> *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
> >>>> his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
> >>>> *
>
> >>>> --
> >>>> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >>>> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> >>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> >>>> Disclaimer:
> >>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> >>> --
> >>> Victor Caleb Mwita
> >>> Ministry of Livestock and Fisheries Development
> >>> P.O. Box 9152
> >>> Dar Es Salaam
> >>> Tel: 0766750673, 0789142275
> >>> --
> >>> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >>> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
> >>>
> >>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>>
> >>> Disclaimer:
> >>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>>
> >>>
>
> >> --
> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >>
> >>
>
> --
> >Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> >International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> >
> >
>
> --
> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>  BARUA-Mara.JPG
> 1050KViewDownload

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment