Monday 28 January 2013

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] KARIBU TUIFUFUE FRIENDS OF DR SLAA (FOS).

HK,
Ungeanzisha thread yako ya ccm..sio hii inayohusu chadema na ww unaingilia.

On Tuesday, January 29, 2013,  <hkigwangalla@gmail.com> wrote:
> Na wale wanaotaka kuwa kwenye mtandao wa 'CCM Study Group' wanataarifiwa hapa kuwa tunaendelea kupokea maombi ya more think tanks, tafadhali pitia group hiyo kwenye Googlegroups ili ujue sifa za kujiunga!
>
>
> Regards,
> HK.
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
> ________________________________
> From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Tue, 29 Jan 2013 06:43:14 +0000
> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>; mabadiliko Tanzania<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: RE: [Mabadiliko] RE: [wanabidii] KARIBU TUIFUFUE FRIENDS OF DR SLAA (FOS).
> Makubi,
>  
> Peleka contacts zako kwa Mtoi. Hayo na mengine tutayajadili. Usianzishe ubishi ambao hautakuwa na mwisho hapa.
>  
> Selemani
>  
> ________________________________
> Date: Tue, 29 Jan 2013 09:40:14 +0300
> Subject: Re: [Mabadiliko] RE: [wanabidii] KARIBU TUIFUFUE FRIENDS OF DR SLAA (FOS).
> From: makubi55@gmail.com
> To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
> CC: wanabidii@googlegroups.com
>
> Mtoi
> Nadhani ushauri huo ni mrua kabisa. Achana na Friends of Slaa, bali iwe of Chadema.
>
>  
> 2013/1/29 Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
>
>  
> Wakuu,
>  
> Kwanza nakushukuru Kaka Mtoi kwa kuja na wazo hili zuri sana. Nadhani ni wakati muafaka kufufua network hii ili tuweze kuleta mabadiliko ambayo yanahitajika sana. Kazi za kufanya ni nyingi sana. Na huu ni wakati muafaka kabisa.
>  
> Pia nawashukuru sana Kaka Ibrahim na Finnigan kwa mapendekezo yao na mawazo yao mazuri. Wamezungumza suala la msingi kabisa: Je iwe ni Friends of Slaa?? au Friends of Chadema? Haya ni mawazo mazuri sana na yanatupeleka katika kujenga network nzuri. Pamoja na mawazo hayo mazuri, naomba nishauri yafuatayo: Twende hatua kwa hatua. Kwanza, tuanze kuji-organize, tufahamui nani na nani wanatengeneza network hii. Tupate contacts zote kutoka katika kila mikoa, wilaya n.k.
>  
> Baada ya hapo, tukutane na tujadiliane masuala yote ya malengo na shabaha zetu pamoja na haya ambayo Finnigan na Ibrahim wameyazungumza. Kwa sasa hivi, iwapo unataka kuwa katika network hii, mpelekee Mtoi contacts zako kama alivyoomba.
>  
> Nadhani mtakubaliana na mimi kuwa hapa si jukwaa zuri la kujadiliana kuhusu masuala haya. Inawezekana baada ya kuji-organize tukaandaa mkutano ambao tutakutana na tutaweza kufahamiana kwa sura lakini pia tutapata nafasi ya kujadili masuala haya na mengine mengi. Kwa sasa naomba tujikite katika kujenga data base ya wanacha. Details za jina na uendeshaji tutajadiliana katika mkutano na baadae.
>  
> Kaka Mtoi, asante sana na ninakutumia contacts zangu.
>  
> Selemani Rehani
>  
>  
>> Subject: [wanabidii] KARIBU TUIFUFUE FRIENDS OF DR SLAA (FOS).
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> CC: mabadilikotanzania@googlegroups.com
>> From: mouddymtoi@gmail.com
>> Date: Mon, 28 Jan 2013 15:51:02 +0000
>>
>> Wakuu.
>> Kwa heshima na taadhima naomba kuleta kwenu ombi la kuifufua Friends of Dr Slaa (FoS). Mtakumbuka kuwa tulikuwa na mikakati na mipango kadhaa mwaka 2010 kupitia FOS.
>>
>> Nimeona tuiendeleze FOS ili tusiipoteze ndoto ya mikakati yetu tuliyo kuwa nayo.
>>
>> Kwa wale watakao penda kuwa wanachama na wadau wa FOS naomba wanitumie majina na namba zao za simu kwenye barua pepe yangu <mouddymtoi@gmail.com> au kwenye namba ya simu 0713 246764.
>>
>> Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu na karibu sana.
>>
>> Mo.
>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>  
>  
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>  
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>  
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>  
>  
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment