Sunday 13 January 2013

[wanabidii] Mwanaharakati alieanzisha vita vya uhuru wa mitandao “Guerrilla Open Access Manifesto.” amejinyonga


Mwanaharakati wa mambo ya uhuru wa mitandao aliyeanzisha mtandao unaoitwa "Guerrilla Open Access Manifesto" na mwanzilishi wa RSS na mwanzilishi wa  reddit.com amejiua.
Akiwa na miaka 14 tu Aaron Swartz  alianzisha program inayojulikana ka RSS (Rich Site Summary) (au wengine wanaiita Really Simple Syndication) Hii ni proram ambayo hutumika hadi leo kuwawezesha watumiaji wa Internet na bolgs kukopi,

Habari zaidi na picha; http://goldentz.blogspot.com/2013/01/mwanaharakati-alieanzisha-vita-vya.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment