Friday 25 January 2013

[wanabidii] MTWARA NYUMBA ZACHOMWA - KISA GAS!

Wanabidii
Niwajuze kuwa hali inaendela kuwa tete katika mji wa Mtwara. Barabara zimefungwa, Magari yamemomwa moto, Ofisi ya CCM imechomwa na Nyumba ya Waziri Hawa Ghasia nayo imo. Kisa ni GAs. Je hii neema ama Balaa. Mbona mwanzo tu?

Yarabi salama tunakwenda wapi. Serikali iingilie kati!

0 comments:

Post a Comment