Thursday 10 January 2013

[wanabidii] Msako mkali unaoendelea Kenya wapelekea Majangili wawili kuuwawa na mmoja raia wa Congo akamatwa

SIOLO, Kenya; Polisi wa Kenya pamoja na idara ya wanyamapori wamesema kwamba wamewauwa raia wawili kwa kuwapiga risasi baada ya majibizano ya risasi. Majangili hayo yalikuwa yameuwa Tembo wanne katika  mbuga ya Isiolo. 
Uwindaji haramu wa Tembo ulipungua baada ya mwaka 1989 wakati Serikali ya Kenya ilipopiga marufuku uwindaji wa Tembo
Kwa habari na picha zaidi soma hapa: http://goldentz.blogspot.com/2013/01/msako-mkali-unaoendelea-kenya-wapelekea.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment