Thursday 17 January 2013

[wanabidii] FW: MAONI KUELEKEA KUPATA KATIBA MPYA

Itasaidia kuondoa udini , italeta uwajibikaji, itajenga umoja na udugu

 

From: Demetria Kalogosho [mailto:demetria.kalogosho@tgnp.org]
Sent: Thursday, January 17, 2013 6:23 PM
To: 'maoni@katiba.go.tz'
Cc: 'maoni@katiba.go.tz'
Subject: MAONI KUELEKEA KUPATA KATIBA MPYA

 

MAONI:

1.       KATIBA IHAKIKISHE KIONGOZI WA  SERIKALI/TAASISI  ALE KIAPO KWA KUTUMIA KATIBA YA NCHI AMBAYO NDIYO ANATAKIWA KUITETEA NA IMEBEBA MASUALA YA HAKI ZA BINADAMU  NA RASILIMALI NA UTAJIRI WA TAIFA KWA AJIRI YA USTAWI WETU NA TARATIBU ZA UTAWALA BORA NA ULINZI WA AMANI NCHINI.  KULA KIAPO KWA KUTUMIA VITABU VYA DINI AMBAVYO NI KATIBA ZA TAASISI NYINGINE TOFAUTI NA SERIKALI SI VIZURI MAANA VITABU VYA DINI  HAVIWAJIBISHI VIONGOZI WA SERIKALI. UADILIFU WA MTU HAUTEGEMEI KIAPO CHA VITABU VYA DINI BALI HALI HALISI YANDANI YA MOYO WA MTU NA KUSIMAMIA MANENO YAKE AYATAMKAYO KWA UAMINIFU UTOKAO NDANI YA MOYO WAKE. HATA HIVYO KITABU KAMA BIBLIA KINAKATAZA  KUAPA;(MATHAYO 5:33-37 NA YAKOBO 5:12).

2.       MFUMO WA UKUSANYAJI MAPATO UNATESA WANAWAKE WENGI, KATIBA IHAKIKISHE WENYE NACHO WANATOZWA KODI NA KUCHANGIA MAENDELEO YETU.

 

Demetria Kalogosho, Box 8921, Dar es salaam

0 comments:

Post a Comment