Friday 25 January 2013

[wanabidii] BAADA YA VULUGU YA KIBITI JANA LEO NI DUMILA -MOROGORO

Redio one muda mfupi uliopita imetoa briefing kwamba barabara ya
morogoro- Dodoma, maeneo ya Dumila imefungwa na wananchi tangu asubuhi
kwa sababu ya migogoro ya ardhi. Mwenye taarifa zaidi atujuze

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment