Thursday 10 January 2013

[wanabidii] Ariel Sharon, Waziri Mkuu wa Israel anayeishi kama mfu kwa miaka 7 sasa

Ariel Sharon alikuwa waziri Mkuu wa 11 wa Israel baada ya kulitumikia jeshi kama mwanajeshi matata na mkuu wa majeshi

Sharon alizaliwa 26 february 1928. Alichaguliwa kuwa waziri mkuu wa Israel mwaka 2001 na kazi yake ya uwaziri mkuu iliisha mwaka 2006 aliposhambuliwa na kiharusi/stroke iliyompelekea kulazwa hospitalini katika hali mahututi kuanzia mwaka 2006 hadi leo hii.
Kwa habari zaidi na picha: http://goldentz.blogspot.com/2013/01/ariel-sharon-waziri-mkuu-wa-israel.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment