Wednesday 16 January 2013

[wanabidii] Ajali ya Lori la Mizigo - Mzunguko wa Msamvu Morogoro

Alfajiri hii (saa 11.35) kumetokea ajali ya Lori la Mizigo kwenye Mzunguko wa Msamvu, Morogoro. Kwa muonekano Lori hili lilikuwa likielekea barabara ya Morogoro. Limelipuka kuanzia kwenye kichwa lakini bado haijajulikana kama kuna walionusurika ama kufariki kutokana na ajali ama lah....picha na taarifa zaidi zitafuata mara baada ya moto kuzimika (kuzimwa siyo rahisi kutokana na kwamba mpaka sasa hakuna gari la Kikosi cha Kuzuia Moto na kukabiliana na majanga)

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment