Thursday 17 January 2013

Re: [wanabidii] Zaidi ya watu 60,000 wameshauwawa Syria

Kaka bahati, ukweli ni kwamba haijawahi kutokea kusema ukweli wa idadi ya watu waliokufa wakati vita inaendele au hata baada ya vita, kinachofanyika ni kusema pungufu ya nusu ya idadi halisi ya watu waliokufa. hivyo ndivyo ilivyokuwa vita ya Uganda, Libya, Genocide Rwanda, Serbia, Hllowcaust n.k Hii ni kwa sababu sio kote yanakotokea mauaji panafikika hata baada ya vita. Mfano Rwanda wanaendelea kugundua Mashimo ya mauaji ya halaiki waliouwawa na kufukiwa kila mwaka hadi leo, wakati tayali idadi ya waliokufa ilikadiriwa miaka 18 iliyopita.

Tuendelee kuomba mungu tuwe na amani nchi yetu, iwe kimbilio.

2013/1/17 richard bahati <ribahati@gmail.com>
Inakadiriwa zaidi ya watu 60,000 wameshakufa na kadiri siku zinavyosonga mbele na kadiri waasi wanavyozidi kumsogelea Assadr damascus ndivyo nanavyozidi kuwaangamiza bila huruma. Inasemekana kwamba yale mabomu ya kibaiologia ambayo syria inayo ameshayaweka tayari kwa kuyatumia na hiyo ndoyo silaha yake ya mwisho.

Kwa picha za matukio na habari zaidi ya huko Syria soma hapa: http://goldentz.blogspot.com/2013/01/zaidi-ya-watu-60000-wameshauwawa-syria.html

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment