Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: gm26may@gmail.com
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 25 Jan 2013 10:57:50 +0000
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.
Dada Hilda!
Kweli upo Tanzania?
Sioni mapambano yeyote ya polisi na mtuhumiwa kwenye hii habari
Na haiingii akilini kwa mtuhumiwa aliyekamatwa kwa kutumia nguvu kiasi hicho kupelekwa hospital na ndugu zake badala ya kuwa chin ya ulinzi mkali!
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 25 Jan 2013 10:39:18 +0000 (GMT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.
Wavamie vituo na kupiga policy na hata JWTZ. Majambazi wanatazama na watatumia nafasi hiyo nkuvamia nyumba kupora, kubaka na kuiba. Kisha, wasione hata polisi kwenda masaa yapite au siku ipite. Sheria mkononi haitotufikisha mbali. Kama yalitokea mapambano kati ya polisi na muuza madawa au na jambazi ktk kujihami asikamatwe-kuna uwezekano polisi au jambazi kuumizwa au kuuawa. Jee, angekufa polisi wananchi wangechoma nyumba ya mtuhumiwa? Tunakwekwenda kubaya. --- On Fri, 25/1/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
|
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment