Friday 25 January 2013

RE: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.

  • Raia/wananchi wa Kibiti Rufiji wavunja nyumba nne za polisi na kuchoma vitu vya ndani kutokana na askari kumpiga kijana waliomkamata ambae baade alifariki muhimbili -umri wa kijana Hamisi Athumani 27-28 approx. Baada ya taarifa za kifo ndipo wananchi wakafanya uasi huo.
  • Awali wananchi walivamia kituo cha polisi ili kukichoma ila askari waliwadhibiti ndio wakaenda kuvamia nyumba za askari-watu 37 wanashiriliwa na polisi kwa tukio hili
  • Msaada wa askari kutoka mkoa-gari yao ilipinduka njiani ktk mbio hizo wameumia na mmoja kufa kutokana na gari yao kupinduka-kinyerezi barabara ya Kibaha-Kisarawe. Askari 2 hali zao mbaya sana.
  • Wananchi walifunga barabara kwa mawe, magogo, kuchoma matairi kisha kuvamia kituo baadae kuchoma nyumba za polisi zilizopo uraiani
  • Askari waliotuhumiwa kumpiga kijana aliyefariki wapo rumande. Serikali itagharimia mazishi.
  • Matukio ya kupambana na polisi, kuchoma vituo si mageni-walivamia cha Musoma mid 1980s kutaka kutoa watuhumiwa waliomuua kwa kumchoma na miti ya zizi la ng'ombe mzazi wa Ndugu Karabani baada ya kumtuhumu uovu uliotokana na wivu wa maendeleo ya maisha yake akiwa anafuga kisasa na kuishi maisha bora kutokana na kuwa na watoto wasomi. Walipokamatwa-wanakijiji wakavamia na mishale police station ya Musoma Mjini; Walivamia magereza miaka hiyo Serengeti Mzee Kawawa akiwa mgeni rasmi amelala maeneo hayo.. Uchomaji na uharibifu magari ya polisi kuhusiana na case ya Mbagala-ya msahafu kukojolewa na kuchoma makanisa.
  • Nipashe inaeleza June 2012-Kijiji cha Itununu Serendeti kuvamia kituo cha polisi Mugumu wakiwa na silaha za jadi wakitaka watuhumiwa 2 wa mauaji watolewe au wawatoe wawaue lakini polisi walizuia. Leo hii wanataka polisi walioua wauawe ila wao kuua inaonekana poa. June 2012 bunda walivamia kituo cha polisi ili kuwaokoa watu 2 ambao walikuwa wakishikiliwa na polisi wananchi wakidai kuwa watu hao hawakuwa na hatia. Kabla ya kuvamia kituo cha polisi bunda wanavijiji hao walichoma nyumba kumi za wenzao familia nne tofauti ambazo walizituhumu kwa matukio ya wizi. 
  • Kuna matukio zaidi ya haya yanayotajwa na Gazeti la Nipashe la leo na haya mengine hapo juu. Pamoja na kuchomeana nyumba na kuuana kwa kushukiana uchawi kunakoendelea. Kuuana kutokana na wizi wa mifugo desturi isiyoisha ambapo hata serikali inashindwa kuzuia maana ni wenyewe kwa wenyewe daima kulipizana kisasi, kuwindana kifamilia au kijiji kwa kijiji. Matukio ya kumuua watu-watoto wakubwa kukata viungo vya mwili kuviuza kibiashara. Inakuwa ngumu kuzuia kwani ni within families, jirani na jirani; mapigano ya koo na polisi kukesha kuyazuia ila hatuoni ubora wa polisi ila lawama tu wanapokosea.
  • Nani ana haki ya kuchukua sheria mkononi? Polisi huwa wanauawa hata wanapofuata kukamata majambazi ambao ni ndugu zetu ambao huenda kuwatolea na dhamana huko rumande na kuwawekea mawakili. Kwa namna ya mwelekea huu wa uadui-hatutafika

--- On Fri, 25/1/13, Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu) <EMbise@africanbarrickgold.com> wrote:

From: Mbise, Emmanuel (Bulyanhulu) <EMbise@africanbarrickgold.com>
Subject: RE: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, 25 January, 2013, 13:52

Polisi walilazimika kutumia nguvu kubwa kidogo'

Baada ya hapo kijana (marehemu) alipelekwa hospitali ya taifa Muhimbili

na ndugu zake.

Nguvu kubwa kidogo…INAPIMWAJE?

Kijana (marehemu) alipelekwa na ndugu zake hospitali ..(MTUHUMIWA)

Polisi kwa kutengeneza taarifa wamebobea na ndio maana kila wakati tunasikia kunakuwa na kutokuelewana kati ya polisi na raia na vurugu haziwezi kuisha kwa hali hii.

safety has no luck play your role

Emmanuel G Mbise | Mine Captain Conventional| African Barrick Gold (Pty) | Phone: +255 (22) 2600 508 Ext: 6061 |  Mobile: +255755347135 Fax: +255 (22) 2600 222 | Address: Bulyanhulu Gold Mine, African Barrick Gold, P.O. Box 1081, Dar es Salaam, Tanzania | Email EMbise@africanbarrickgold.com

From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Samuel Sasali
Sent: Friday, January 25, 2013 2:09 PM
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.

Kiwasila ni Dada?au mie ndo sijui

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

Date: Fri, 25 Jan 2013 10:57:50 +0000

Subject: Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.

Dada Hilda!

Kweli upo Tanzania?

Sioni mapambano yeyote ya polisi na mtuhumiwa kwenye hii habari

Na haiingii akilini kwa mtuhumiwa aliyekamatwa kwa kutumia nguvu kiasi hicho kupelekwa hospital na ndugu zake badala ya kuwa chin ya ulinzi mkali!

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>

Date: Fri, 25 Jan 2013 10:39:18 +0000 (GMT)

Subject: Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.

Wavamie vituo na kupiga policy na hata JWTZ. Majambazi wanatazama na watatumia nafasi hiyo nkuvamia nyumba kupora, kubaka na kuiba. Kisha, wasione hata polisi kwenda masaa yapite au siku ipite. Sheria mkononi haitotufikisha mbali. Kama yalitokea mapambano kati ya polisi na muuza madawa au na jambazi ktk kujihami asikamatwe-kuna uwezekano polisi au jambazi kuumizwa au kuuawa. Jee, angekufa polisi wananchi wangechoma nyumba ya mtuhumiwa? Tunakwekwenda kubaya.

--- On Fri, 25/1/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 25 January, 2013, 7:14

Asubuhi ya leo nimemskia redioni kamanda Silo akieleza kwamba chanzo
cha tatizo ni huyo raia (kijana aliyepigwa na polisi na baadaye kufa)
kwamba alikamatwa na polisi akiwa na bhangi/madawa ya kulevya. Ambapo
polisi walilazimika kutumia nguvu kubwa kidogo. Baada ya hapo kijana
(marehemu) alipelekwa hospitali ya taifa Muhimbili na ndugu zake kwa
matibabu na mwisho mauti yakamkuta.

Taarifa hiyo inayojikanganya, ninamuomba kamanda Silo afuatilie kwa
karibu na atueleze ukweli wa kipigo hicho cha polisi kwa mtuhumiwa.
Maana tunashindwa kuelewa mtiririko wa tukio, hivi mtu akikamatwa na
vitu kama madawa ya kulevya sheria inasema polisi wamuachie kwa
kumkabidhi kwa ndugu wa mtuhumiwa? Na je kama ni kumuachia wanamuachia
utaratibu wa kumuachia uko vipi? Hapo kuna kitu kimejificha, isije
kuwa polisi waligombania mwanamke au visa vingine na kuamua kumpachika
marehemu makosa ambayo hakuwa nayo.

Swali jingine la kujiuliza, imekuwaje raia wote waamue kufanya fujo
kisa kuna raia mmoja kakamatwa na kupigwa na polisi na hatimaye kufa
kwa sababu ya kosa lililokuwazi mbele za sheria na taratibu?

Tukilea magonjwa haya misiba itakuwa ikituhumbua kila uchao

2013/1/24 richard bahati <ribahati@gmail.com>:
> Taabu kweli ndugu
>
>
> 2013/1/24 mngonge <mngonge@gmail.com>
>>
>> Jeshi la polisi linatakiwa kujiangalia upya. Tabia ya kuhisi lina kila
>> uwezo wa kufanya lolote ni hatari. Kuna uhasama mkubwa uliojengeka kwa
>> muda mrefu kati ya jeshi la polisi na raia katika maeneo mbalimbali
>> nchini. Jeshi la polisi lisipojitathmini upya katika utendaji wake wa
>> kazi. Hizi ni dalili mbaya sana na balaa tupu huko tuendako
>>
>> On Thu, Jan 24, 2013 at 10:49 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com>
>> wrote:
>> >
>> > http://goldentz.blogspot.com/2013/01/wananchi-wavamia-kituo-cha-polisi.html
>> >
>> > --
>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> > be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment