Friday 25 January 2013

Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.

Wavamie vituo na kupiga policy na hata JWTZ. Majambazi wanatazama na watatumia nafasi hiyo nkuvamia nyumba kupora, kubaka na kuiba. Kisha, wasione hata polisi kwenda masaa yapite au siku ipite. Sheria mkononi haitotufikisha mbali. Kama yalitokea mapambano kati ya polisi na muuza madawa au na jambazi ktk kujihami asikamatwe-kuna uwezekano polisi au jambazi kuumizwa au kuuawa. Jee, angekufa polisi wananchi wangechoma nyumba ya mtuhumiwa? Tunakwekwenda kubaya.

--- On Fri, 25/1/13, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, 25 January, 2013, 7:14

Asubuhi ya leo nimemskia redioni kamanda Silo akieleza kwamba chanzo
cha tatizo ni huyo raia (kijana aliyepigwa na polisi na baadaye kufa)
kwamba alikamatwa na polisi akiwa na bhangi/madawa ya kulevya. Ambapo
polisi walilazimika kutumia nguvu kubwa kidogo. Baada ya hapo kijana
(marehemu) alipelekwa hospitali ya taifa Muhimbili na ndugu zake kwa
matibabu na mwisho mauti yakamkuta.

Taarifa hiyo inayojikanganya, ninamuomba kamanda Silo afuatilie kwa
karibu na atueleze ukweli wa kipigo hicho cha polisi kwa mtuhumiwa.
Maana tunashindwa kuelewa mtiririko wa tukio, hivi mtu akikamatwa na
vitu kama madawa ya kulevya sheria inasema polisi wamuachie kwa
kumkabidhi kwa ndugu wa mtuhumiwa? Na je kama ni kumuachia wanamuachia
utaratibu wa kumuachia uko vipi? Hapo kuna kitu kimejificha, isije
kuwa polisi waligombania mwanamke au visa vingine na kuamua kumpachika
marehemu makosa ambayo hakuwa nayo.

Swali jingine la kujiuliza, imekuwaje raia wote waamue kufanya fujo
kisa kuna raia mmoja kakamatwa na kupigwa na polisi na hatimaye kufa
kwa sababu ya kosa lililokuwazi mbele za sheria na taratibu?

Tukilea magonjwa haya misiba itakuwa ikituhumbua kila uchao

2013/1/24 richard bahati <ribahati@gmail.com>:
> Taabu kweli ndugu
>
>
> 2013/1/24 mngonge <mngonge@gmail.com>
>>
>> Jeshi la polisi linatakiwa kujiangalia upya. Tabia ya kuhisi lina kila
>> uwezo wa kufanya lolote ni hatari. Kuna uhasama mkubwa uliojengeka kwa
>> muda mrefu kati ya jeshi la polisi na raia katika maeneo mbalimbali
>> nchini. Jeshi la polisi lisipojitathmini upya katika utendaji wake wa
>> kazi. Hizi ni dalili mbaya sana na balaa tupu huko tuendako
>>
>> On Thu, Jan 24, 2013 at 10:49 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com>
>> wrote:
>> >
>> > http://goldentz.blogspot.com/2013/01/wananchi-wavamia-kituo-cha-polisi.html
>> >
>> > --
>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> > be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> > agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment