Thursday 24 January 2013

Re: [wanabidii] Wananchi wavamia kituo cha Polisi Kibiti, wachoma nyumba za askari.

Jeshi la polisi linatakiwa kujiangalia upya. Tabia ya kuhisi lina kila
uwezo wa kufanya lolote ni hatari. Kuna uhasama mkubwa uliojengeka kwa
muda mrefu kati ya jeshi la polisi na raia katika maeneo mbalimbali
nchini. Jeshi la polisi lisipojitathmini upya katika utendaji wake wa
kazi. Hizi ni dalili mbaya sana na balaa tupu huko tuendako

On Thu, Jan 24, 2013 at 10:49 AM, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:
> http://goldentz.blogspot.com/2013/01/wananchi-wavamia-kituo-cha-polisi.html
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment