Monday 21 January 2013

Re: [wanabidii] Ukuta wa Ubungo Terninal uliobomoka wasababisha hasara kubwa

Chief Matinyi

Hadithi yabkilichotokea pale ni ya ajabu sana...

Tumaini Makene
CHADEMA Senior Information(Press) Officer
0752 691569/ 0688 595831

Sent from my iPad

On Jan 21, 2013, at 8:57 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

Yale yale. Leo ni zamu ya uozo wa wahandishi wetu kuumiza Watanzania wenzetu. Ama kweli hatuna wahandisi makini. Haya mambo ya majengo na kuta kuanguka mbona hayatokei kwa wingi hivi kwenye nchi zingine?
Matinyi.
 
Date: Mon, 21 Jan 2013 19:42:30 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Ukuta wa Ubungo Terninal uliobomoka wasababisha hasara kubwa
From: lutinwa@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Madness, zoezi litafanyikaje bila tahadhari kwa watu na mali zao? Ingekuwa nchi inayoongozwa na watu wanaojua wanachokifanya; - Contractor, Engineers, Mkuu wa Wilaya wangekuwa ndani na tayari wameishapokea bakora 12 kila mmoja, wakati wanasubiri kesho wasomewe mashitaka yao. Plus withdrawning their respective licences.
Sheer madness.
Lutinwa
Sent from Samsung Tab 10.1
On Jan 21, 2013 4:44 PM, "richard bahati" <ribahati@gmail.com> wrote:

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment