Monday 21 January 2013

Re: [wanabidii] Ukuta wa Ubungo Terninal uliobomoka wasababisha hasara kubwa

Ni challenge kwa pande zote. Wale waliokuwa wamekatia magari yao comprehensive Insurance watalipwa magari mapya kabisaaaa. Wale akina mimi 3rd part ndo basi tena umaskini. Wakati mwingine ajali inatokea hata pale tusipotarajia kabisa. Hivyo kuyainsure magari yetu na comprehensive insurance ni salama zaidi. Hata biashara zetu tukitaka zisitupe hasara tunatakiwa kuzifanyia hivyo. Tusibahatishe kwenye kila kitu. Otherwise hata hiyo kampuni ya ujenzi ni lazima itakuwa na fungu la dharura kama hivyo.

2013/1/21 lesian mollel <aramakurias@yahoo.com>
uharibifu kama huu nani atawajibika? mkandarasi au ubng terminal au nai, wajue hao wakandarasi wangetoa alert wasipark watu, kwann wabomoe kizembe hivi, uzembe umezidi bongo jamani?mtu awajibike na walioharibiwa magar walipwe, maana zingine ziko ktk mkopo, zingine za biashara mshaharibi vijiwe vya watu nk nk

--- On Mon, 1/21/13, richard bahati <ribahati@gmail.com> wrote:

From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Ukuta wa Ubungo Terninal uliobomoka wasababisha hasara kubwa
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Monday, January 21, 2013, 7:40 AM

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment