Friday 11 January 2013

Re: [wanabidii] UDHAIFU WA CHADEMA/CUF UTALETA MGAWANYIKO NCHINI

Bariki, jibu ni ndiyo. Pale alipokemea G55 iliyokuwa inapigania
serikali ya Tanganyika. Aliwalaumu kina Malecela, then PM, kwa
kushindwa kusimamia sera ya CCM, ya Serikali 2 ndani ya bunge. Ndipo
alitunga kitabu cha Uongozi wetu na hatma ya Tanzania

On 11/01/2013, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> Wadau naomba msaada, hivi kuna mahali Mwalimu Nyerere alipinga uwepo wa
> Serikali tatu?
>
>
> 2013/1/11 Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
>
>> Sera ya Serikali 3, kwa Chadema na Cuf si ya leo, ni tangu
>> vinaanzishwa, wakati huo mwalimu Nyerere akingalipo, kama utaruhusu
>> kichwa chako kukumbuka, mwalimu aliwahi kusifia sera za Chadema, kuwa
>> ndicho kinaonekana kuwa makini kuchukua uongozi wa nchi.
>>
>> On 10/01/2013, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
>> > Jamani, sula la udhaifu hapa linaingiaje? Huu unaoitwa udhaifu wa CDM
>> /CUF
>> > ni wa Yona na wengine ambao hawapendi mapendekezo ya serikali tatu.
>> Jamani
>> > haya ni maoni ya vyama hivi. Kama kuna mtu anadhani hayapendi
>> halazimishwi.
>> > Atoe ya kwake. Binafsi nawaunga mkono saaana hawa jamaa. Serikali Tatu
>> ndo
>> > suluhisho la chokochoko na dukuduku zilizodumu miaka mingi na ni kilio
>> cha
>> > wengi. Big-up CDM na wale wooote wanaounga mkono Seikali ya Tanganyika,
>> > Zanzibar na ya Muungano wa Jamhuri ya Tanzania.
>> > Vin
>> >
>> > 2013/1/10 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>> >
>> >> Mlevi mmoja alikuwa akijitetea kuwa hakulewa. Akasema kama ningekuwa
>> >> nimelewa wale watu wawili walio mbele yangu ningekuwa nawaona wanne.
>> >> Kumbe mbele yake kulikuwa na mtu mmoja ila kwa ulevi anaona wawili.
>> >>
>> >> Watu makini hawaoni ukanda wala ukabila wala ubaguzi wowote katika
>> >> CHADEMA
>> >> Watu makini hawaoni udhaifu wa CHADEMA na wanaona kuupata uNyerere
>> katika
>> >> CHADEMA kuliko chama kingine chochote
>> >> Watu makini wanaamini kama udhaifu wa CCM wa kuwaangukia mafisadi na
>> >> kuwatelekeza maskini hakujaligawa taifa, basi CHADEMA makini
>> >> itaimarisha
>> >> umoja wetu.
>> >>
>> >> Wanaoona tofauti wana tatizo gani.
>> >>
>> >> Samahani kujadili mada hii nje ya mada iliyokusudiwa ila tunaweza
>> >> kuviunganisha tukipenda au kuvijadili tofauti
>> >>
>> >>
>> >> --- On *Thu, 1/10/13, Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>* wrote:
>> >>
>> >>
>> >> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
>> >> Subject: [wanabidii] UDHAIFU WA CHADEMA/CUF UTALETA MGAWANYIKO NCHINI
>> >> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>> >> Date: Thursday, January 10, 2013, 8:11 AM
>> >>
>> >> Ndugu zangu
>> >>
>> >> Siku moja baba wa taifa aliwahi kuonya kuhusu chama kinachotaka
>> >> kuongoza nchi kwa kutamka hadharani kwamba vyama vya kikanda , dini ,
>> >> kabila au upande fulani wa muungano havitakiwi na haviwezi kuongoza
>> >> nchi hii .
>> >>
>> >> Aliposema hivi hakugusia ni chama gani au vyama kwangu mimi naona kwa
>> >> wakati huu ni CHADEMA na CUF ambapo CUF inanguvu sana visiwani wakati
>> >> CHADEMA imeanza kuwa na nguvu katika baadhi ya maeneo ya nchi lakini
>> >> sio visiwani kwa sana .
>> >>
>> >> Matokeo yake ni kwa viongozi wa vyama hivi kwa nyakati tofauti kutoa
>> >> matamshi ya kutaka kuwa na muungano wa mkataba au serikali tatu
>> >> kutokana na vyama hivi kutokuwa na wafuasi waliosambaa nchi nzima .
>> >>
>> >> Nawashauri waendeleze harakati za kujenga vyama vyao maeneo yote ya
>> >> nchi na sio baadhi ya maeneo na kuleta visingizio vya serikali tatu au
>> >> muungano wa mkataba kwa maslahi yao ya kisiasa .
>> >>
>> >> Udhaifu wao usiwe kisingizio cha kuwagawa watanzania .
>> >>
>> >> Tukileta utengano katiak nchi hii hakuna atakayebaki , wale wanaotaka
>> >> nchi kutengana kwa sababu zozote zile wao waanze kujikata vipande
>> >> sehemu za miili yao.
>> >>
>> >> --
>> >> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> >> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<
>> http://us.mc1612.mail.yahoo.com/mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com
>> >
>> >> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must
>> >> be
>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >>
>> >>
>> >> --
>> >> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> >> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> >>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>> >>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must
>> >> be
>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree
>> >> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >>
>> >>
>> >>
>> >
>> > --
>> > Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> > International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>> >
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>> >
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> > must
>> be
>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to
>> > this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >
>> >
>> >
>>
>>
>> --
>> RSM
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>


--
RSM

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment