Monday 21 January 2013

Re: [wanabidii] TUJADILI UCHUMI



 

Ndugu zangu,

Nilipoibua hoja hii, nilikua na nia ya kwamba tujitahidi sasa kuanza kujadili masuala yenye tija kwa mustakbali wa nchi kwa kizazi huiki na vizazi vijavyo.

Ingawaje michango haikuwa mingi(sijui ni kwa nini), hiyo michache iliyowekwa, inaonyesha kukubali kwamba kuna tatizo katika mipangomkakati wa kujikwamua kiuchumi.

Sasa je, tunafanyaje?. Wizara ya Utumishi bado wanapokea majina (kama ilivyotangazwa siku chache zilizopita)ya wataalamu wazalendo wanaotaka kuwashirikisha katika mikakati ya kuboresha nchi?

MJL

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment