Thursday 10 January 2013

Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?

Reuben,
Unahitaji kwenda Mirembe.




T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Reuben Mwandumbya" <ipyana75@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?
Date: Thu, Jan 10, 2013 7:17 am


Comrade Mwita;
Tatizo lingine labda nalo linaweza kuwa chanzo cha hali tete Musoma ni matumizi ya BANGE na GONGO,hizi hasira zinazosemwa zinasababishwa na ujasiri unaotokana na haya mambo mawili (hii ni kwa mujibu wa uelewa wangu),wala sio ujasiri.
 
Reuben


From: Victor Mwita <victormwita@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, January 10, 2013 12:00 AM
Subject: Re: [wanabidii] Tarime inaelekea wapi?

Wawakilishi tunao ila sijajua kama hawayaoni hayo matatizo yanayowakabili wapiga kura wao. Tumefanya majaribio kambi zote za siasa lakini hakuna mabadiliko.
Hayo ya kusema tuna hasira ni kutuonea tu, kila sehemu watu wana hasira na hata kama kweli kuna watu wenye hasira ndio wamesuswa jamani!
Hebu wananchi wa Tarime tuamue kufanya jambo la maana ili kuokoa jamii yetu..
Ila watu wa mitandao hivi kweli waliona ni busara kuweka minara yote Nyamwaga tena bondeni na kuacha sehemu za miinuko? Hata kama sijasomea masuala ya mitandao naamini kwa kuweka mnara sehemu iliyoinuka unaongeza coverage.

On Thu, Jan 10, 2013 at 2:44 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:
Mtoi,
Hii nayo kali "kudungua helkopta na kombea wakidhani kuwa ilikuwa
imebeba dhahabu." :)

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs..blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.





--
Victor Caleb Mwita
Ministry of Livestock and Fisheries Development
P.O. Box 9152
Dar Es Salaam
Tel: 0766750673, 0789142275
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment